Matumizi ya Magufuli, tuyajadili

Matumizi ya Magufuli, tuyajadili

Ktk vitu vilivyonifanya nimshushe point Magufuli ni tabia yake yakulalama hovyo!!!

Ameshika nafasi sasa aonyeshe anaweza kuliko kuendelea kupiga kelele tumefikishwa hapa na watubwachache ambao hatutajii na hachukui hatua dhidi yao...

Visionary leader halalamiki!! Huchukua matatizo kama changamoto na kuzifanyia kazi...

Ktk vitu ambavyo Magufuli hana na vitamgharimu ni kukosa intelligence...

Viongozi wanahitaji kuwa na maarifa sana ili kuwaongoza watu wao waende wapi...

Lkn huyu bwana ameonesha zaidi uwezo Wa kusimamia kuliko kuongoza!!!

Huu mfumo Wa one man army ni mbaya na hauna tija ktk dunia hii ya Leo...
nilimsikiliza waziri mkuu mmoja wa india wa miaka ya nyuma anazungumzia "what it take to be a Leader"
Anafafanua in detail anataka india iende wapi na sasa iko wapi, itafika kwa njia ipi?
KUHUSU KILIMO alifafanua in detail, status waliokuwa nayo,wataanza cha kujikimu, baadae suprus kwa biashara kidogo baadae kabisa wawe world producer wa Ngano, Hadi anaondoka India ilikuwa ya pili kwa kuzalisha ngano duniani. Changamoto ya maji ilichimbwa mifereji ya illigation na serikali.

simaanishi awe kama huyo wa india, ila flamework hiyo ndio imezifanya nchi nyingi kupush. lazima atupe time, cost, scope and quality.
We need a Leader who can envision this country 5,10,20 years to come and show people how we will reach there. Najua rais wangu ni Msomi anajua haya
 
Ile ya chalinze ni Trilioni 1 nukta 3 au 6 kama sijakosea
 
Daraja la kigamboni bilioni 200
daraja la furahisha mwanza bilioni 200 (nakaribisha masahisho)
daraja la coco beach-bilioni 200 zimetengwa
barabara ya dar-chalinze-zaidi ya bilioni 200
mabasi yaendayo kasi -zaidi ya bilioni 200
flyover ya ubungo bilioni 100

Iwapo serikali ingeamua kujenga treni za umeme
badala ya mabasi yaendayo kasi ingetumia dollar milion 430
kwa km 32...yaani karibu Dar yote ingekuwa unapanda treni dakika 10
uko popote pale hata kigamboni treni ingefika kupitia Mbagala..
hii ni link ya Ethiopia inaelezea gharama za treni hizo na tayari wenzetu wanatumia..
Ethiopia gets first sub-Saharan Africa metro - CNN.com

na kama hizo bilioni zingetumika kujenga vyuo vikuu
UDOM gharama zake ilikuwa kiasi cha bilioni 25....
Sio dhani kama ni Rahisi kiasi hicho. hata kama sina utalaam wa hayo mambo nahisi uelewa wa uhalisia bado hatuja upata.
Hii miradi ni mapendekezo ya utafiti ulio fanywa na JICA mwaka 2008. Na yanayo fanyika hasa haya iliyo yataja ni matumizi ya tafiti hizo.
 
Mkuu The Boss, Tanzania tuna tatizo kubwa la ku set priorities zetu kwenye baadhi ya projects. Tumekopeshwa dola bilioni 1.2 kujenga bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar lenye urefu wa kilomita 487 wakati Ethiopia wamejenga bomba kubwa zaidi, refu zaidi kilomita 550 for less na condition ni harsh kuliko Mtwara Dar!.

Rwanda, Burundi na Uganda ni land locked countries tunazopakana nazo, tuna reli ya kati hadi Mwanza na kigoma, tulihitaji kuiongeza tuu kufika Bukoba hadi Uganda, ile ya Kigoma tukaipeleka Rwanda na Burundi, mizigo yao yote ikashukia bandai ya Dar, wakati sisi tunang'aa macho "The Coalition of the Willing" wanajenga reli kutoka bandari ya Mombasa, kupitia Uganda hadi Rwanda na Burundi, ikikamilika kuna mzigo utapita tena Dar?!.

Watalii wengi wanaoshukia KIA ni ili kupanda Mlima Kilimanjaro, unachukua muda wa 2 hrs drive kutoka KIA hadi Marangu pa kupandia mlima. Kenya wanajenga uwanja chini ya mlima kwa upande wao, it will take just 30 min kutoka Kenya hadi pale Marangu, difference ya 90 min ni big deal kwa mtalii!.

Tunaiacha ATCL ife, reli kwisha, wakati tungechagua priorities zetu, tungejenga metro yetu.

Kwa hili tusimlaumu JPM kakuta kila kitu kimeishapangwa!.

Pasco
Pasco umeongea vitu vinavyoitwa vipaumbele ktk kujenga taifa.

Bahari tu ni bahari kubwa tuliyonayo achilia hizi LLC, hizo tu unataka nini tena.
Yaani tuna rasilimali watu, nchi, rasilimali asilia sisi tu tunashindwa kujielewa.

Vipaumbele vya Tanzania ni metro coach kimara-posta na kujenga madaraja ya cocobeach-aghakhan.

Hizo wizara zote zina umuhimu gani wa kukaa Dar, kwanini msiende Dodoma?

Puuumbavu.
 
Anavyojaribu kutatua mambo kwa pupa ndo anaweza kuharibu zaidi
keshatangaza kununua airbus sita
airbus moja dola milioni 75
wakati zipo ndege kubwa za dola milioni 16...
halafu airbus ni lazima mbadili vitu vingi sana
kutoka Boeing tuliyozoea hadi airbus wafanyakazi watahitaji new training..
ni moja ya vitu vilivyofanya ATC ife pia
walikodi airbus huku ma pilot wamezoea Boeing...ikawa shida tupu
Sometimes its cheap to spend more on new technology kuliko on repair na maintainance hivyo I would opt for Airbus. Marubani wa boeing wote wamestaafu!. Acha tulete ndege mpya, na staff wapya!, nimeruka na ATCL recently hata air hostess wao wabibi!.

Pasco
 
Ktk vitu vilivyonifanya nimshushe point Magufuli ni tabia yake yakulalama hovyo!!!

Ameshika nafasi sasa aonyeshe anaweza kuliko kuendelea kupiga kelele tumefikishwa hapa na watubwachache ambao hatutajii na hachukui hatua dhidi yao...

Visionary leader halalamiki!! Huchukua matatizo kama changamoto na kuzifanyia kazi...

Ktk vitu ambavyo Magufuli hana na vitamgharimu ni kukosa intelligence...

Viongozi wanahitaji kuwa na maarifa sana ili kuwaongoza watu wao waende wapi...

Lkn huyu bwana ameonesha zaidi uwezo Wa kusimamia kuliko kuongoza!!!

Huu mfumo Wa one man army ni mbaya na hauna tija ktk dunia hii ya Leo...

Mimi kiongozi akiwa anaongea anafoka huwa namtoa thamani sana
najiuliza hajawahi kumuona Clinton au Obama akiongea?
hafuatilii rekodi zao?
au anafikiri hata USA hakuna ufisadi?
 
Daraja la furahisha kwenda wapi!??? Pale kuna umuhimu wa daraja au furahisha tofauti na ya mwanza
 
nilimsikiliza waziri mkuu mmoja wa india wa miaka ya nyuma anazungumzia "what it take to be a Leader"
Anafafanua in detail anataka india iende wapi na sasa iko wapi, itafika kwa njia ipi?
KUHUSU KILIMO alifafanua in detail, status waliokuwa nayo,wataanza cha kujikimu, baadae suprus kwa biashara kidogo baadae kabisa wawe world producer wa Ngano, Hadi anaondoka India ilikuwa ya pili kwa kuzalisha ngano duniani. Changamoto ya maji ilichimbwa mifereji ya illigation na serikali.

simaanishi awe kama huyo wa india, ila flamework hiyo ndio imezifanya nchi nyingi kupush. lazima atupe time, cost, scope and quality.
We need a Leader who can envision this country 5,10,20 years to come and show people how we will reach there. Najua rais wangu ni Msomi anajua haya

Ntajie jina lake huyo waziri nim google kidogo
 
Kabisa mkuu...

Tatizo huyu bwana ni msimamizi sana kuliko mtendaji...

Mfano anapotaja miradi mikubwa hivyo ambayo kiuhalisia bado haigusi kabisa maisha ya watu Wa chini anakua anaonekana msanii zaidi....

Pili tunahitaji Ku set mifumo ambayo haitategemea sura ya nani IPO madarakani na itende vipi...

Kwa sura anayoonesha hata washauri wake wataanza kushauri vile anavyopenda kuvisikia yeye na hii ndio shida kubwa kwa viongozi wengi waafrika...

Mfano Jana alikua akielezea mafanikio ya siku 100 kitaifa but alijikita zaidi DSM kuliko kitaifa....

Hata solution anazotoa si zakudumu kitu ambacho si sawia kimaendeleo...
 
Kwa maelezo ya jana ina maana waziri wa miundu mbinu ni yeye
aliepo hana mamlaka ya kupanga chochote
 
Pasco umeongea vitu vinavyoitwa vipaumbele ktk kujenga taifa.

Bahari tu ni bahari kubwa tuliyonayo achilia hizi LLC, hizo tu unataka nini tena.
Yaani tuna rasilimali watu, nchi, rasilimali asilia sisi tu tunashindwa kujielewa.

Vipaumbele vya Tanzania ni metro coach kimara-posta na kujenga madaraja ya cocobeach-aghakhan.

Hizo wizara zote zina umuhimu gani wa kukaa Dar, kwanini msiende Dodoma?

Puuumbavu.
Dar ndio wana fursa za ufisadi.
 
hiki ndicho kinachofanyika sasa. ndio maana mimi nilishangaa watu wansherekea siku 100 na kupiga makofi.
Ilibidi tujue ndani ya siku mia alitaka kufanya nini, kwa ukubwa gani, na amefanya nini kwa reference ya target aliyojiwekea sio reference ya uozo wa aliyeondoka.
Tumemaliza siku mia, what is the way forward. what is the next milestone? He should communicate his shortlerm plans and targets from ministerial level to a poor woman at the village.
sasa nchi imekaa inasubiri tusikie surprise nyingine.

Angeanza kutupa vision ya serikali yake na njia sahihi ambazo angetumia kufikia pale anapotaka.
 
Mimi kiongozi akiwa anaongea anafoka huwa namtoa thamani sana
najiuliza hajawahi kumuona Clinton au Obama akiongea?
hafuatilii rekodi zao?
au anafikiri hata USA hakuna ufisadi?

Haha the guy needs more skills on how to communicate.....

Hajui kufoka hufanya watu wapoteze attention kabisa na wasielewe usemacho...

Rais unatakiwa kutoa communicative language na uongee kwa kuhamasisha zaidi kuliko vitisho....
 
Ni huyu aliyekua akishinikiza kwenye vikao vya bajeti wizara yake ipewe hela nyjngi kwani nyingine hazina umuhimu!!!

Watu wenye akili wameshaanza kuchoka na huyu bwana....

Rais sio nyapara ndio maana hadi Leo tusio mashabiki hatujui ni ipi vision ya serikali yake....
Kuona kaka si mpaka uwe na macho? Wewe macho huna utaonaje?
 
Back
Top Bottom