Matumizi sahihi na mahali sahihi

Matumizi sahihi na mahali sahihi

tpaul nakuhurumia kucha zako
_umemshika simba makalio
 
Last edited by a moderator:
Wewe uliyeweka picha hii huna adabu. Na huyo aliyeweka bendera ya chama tawala mahali hapo p*mb*ffff kabisa. Bila sera bora za chama cha mapinduzi ungejua hata kusoma na kuandika wewe? Au unatafuta umaaruf kijinga jinga
 
Adabu anazo tena za kumtosha tu! Kumbuka hiyo sio bendera ya Taifa, BTW mpaka mtu afikie kuifanya bendera hivyo ujue chama kimechokwa!!! Yaani leo hii bendera za vilabu vya mpira zinaheshimika kuliko bendera ya ccm.... Hapa ndipo mlipofikia
 
Wewe uliyeweka picha hii huna adabu. Na huyo aliyeweka bendera ya chama tawala mahali hapo p*mb*ffff kabisa. Bila sera bora za chama cha mapinduzi ungejua hata kusoma na kuandika wewe? Au unatafuta umaaruf kijinga jinga

ur such a notorious twit i cant waste my precious time arguing with.
 
Wewe uliyeweka picha hii huna adabu. Na huyo aliyeweka bendera ya chama tawala mahali hapo p*mb*ffff kabisa. Bila sera bora za chama cha mapinduzi ungejua hata kusoma na kuandika wewe? Au unatafuta umaaruf kijinga jinga

hahahahhaa,sera za chama tawala ndo zinasaidia wadogo zako kufaulu bila kujua kusoma wala kuandika,na wagonjwa kulala chini
case study MUHIMBILI
 
umeelewa nilichoandika? au unajibu tu kwa ubishi wa kishabiki ..
another victim of cannabis
 
wavuta bangi wameitia najisi bendera iliyoijenga nchi hii. Shukrani ya punda
 
Unajua maana ya najisi lakini? Mbona ilishanajisiwa na wamiliki wake kitambo tu hata kabla wavuta bhangi hawajafanya hivyo?
 
Back
Top Bottom