Je, ni sahihi kuweka biashara msibani?

Je, ni sahihi kuweka biashara msibani?

Kufiwa na kuomboleza haimaanishi shughuli nyingine zisimame hata zile za metaboliki! Lah bado zitaendelea hivyo wafiwa wanahitaji huduma mbalimbali.

Unauza maji, juice, soda ama vilevi na upo karibu na msiba. Fungua biashara yako, muda wa maziko funga, mkitoka huko fungua watu wale vitu.

Hiyo ndo siku ya kula pesa, wateja wamejileta wenyewe na pesa wanayo.
 
Naunga mkono hoja
 
Watu wapo kwenye majonzi unaleta masihara!!!
Biashara na msiba wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom