Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,570
- 860,716
Uwiii unaujua? Ni upi?
Chama chawala
Uwiii unaujua? Ni upi?
MSALANI ujenzi wa taifa lipi???
Chama chawala
Hiyo picha hapo kwenye avator ni wewe? Mbona unaonekana mwili mkubwa halafu akili finyu? Kutwa kucha unashinda jamii photos ukipost picha za ujinga ujinga ambao ulishapitwa na wakati?
Duuuh sijawahi kushabikia hilo lichama....labda siku uliyoniona sikuwa siriaz
njoo uchukue buku fasta
Kila kitu ni mimi kwa asilimia mia but at least sijiiti msalani, na la muhimu kuliko vyote situkaniki wee ongea yote lakini kujiita msalani ni dalili mbaya mno
Nije kufanya nini kwenye ujinga kama huu? Niko bize na shughuli za ujenzi wa taifa.
teh teh hehehe he, sikua na nia ya ku coment kabisa, ila haya maneno yako yalivyo kuntu, imenipasa kufanya hivi. KWELI WATU MNAUTHUBUTU.Zamani enzi zile watoto wa mabalozi wa nyumba kumi wengi walikuwa wanashnewa chupi za bendera za chama, kwa tu wazima kile kipande cha jembe na nyundo anashona baba mwenye mji maana kile ni kesi na chupi ya mtu mzima kuonekana ni issue
MUSSA HASSAN(MSASANI) na MUSSA ALLAN(MSALANI).. Kuna shida gani? wewe ni mwehu tu!
![]()
Aliyeweka hapo itabidi Tumlimboke huyoooooooooooo ni nani asiye ogopa Chama Twawala? au ndie wewe Mkuu tpaul ?
Haswa! Hapo ndo mahali pake sahihi.