Matumizi sahihi na mahali sahihi

Matumizi sahihi na mahali sahihi

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,181
Reaction score
27,781
magamba bendera-mlango.jpg
 
Tatizo ni usaliti na kigeu geu na posho mbele yaani masilai ya kibinafsi na si kwa wananchi
 
Ngoja nikazinunue nikate vipande vipande na kuweka mahala pake (chooni) watu wajichambie.
 
MSALANI upo wapi????
njoo huku bana
 
Last edited by a moderator:
Mnahangaika sana baada ya kushindwa kuvuruga Amani ya nchi. Na hiki ndicho mnachokiweza. Sishangai kujua kuwa kiongozi mkubwa wa Chadema ndiye anayetengeza picha hizi.
 
Zamani enzi zile watoto wa mabalozi wa nyumba kumi wengi walikuwa wanashnewa chupi za bendera za chama, kwa tu wazima kile kipande cha jembe na nyundo anashona baba mwenye mji maana kile ni kesi na chupi ya mtu mzima kuonekana ni issue
 
Back
Top Bottom