Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

Status
Not open for further replies.
Mama Zakia Megji, alikuwa na kaskendo ketu kaleeee ka kuhusika na ufisadi na alipofunja na kuunda Baraza jipya la Mawaziri alimpiga chini, lakini cha ajabu kamteua tena kwenye kamati yake ya ushindi na kazi ya huyo mama ni mambo yaleyale ya mafweza, sasa sijuhi anamwaminia katiak kupiga bao hela za walipa kodi au basi tu
 
Kuna fedheha nyingi tu, tafuta zingine gender sensitive.
mwaka huu natamani kila mkutano wake wa kampeni ningekuwapo kwa ajili ya kumponda kichwa kwa maswali
 
naongozea kwenye orodha yako 7. kumnyang'anya kiwanja Mpemba aliyekuwa jirani yake pale Mtaa wa Ursino, Mikocheni kiwanja na kujenga jumba lenye utamaduni wa kiaharabu. Mpemba alilazimika kuuza eti kwa sababu za kiusalama eti kwa sababu alikuwa na yard ya malori. Wakati alikuwa waziri wa mambo ya nje aliomba kununua plot hiyo kwa milioni 200 lakini Mpemba alikataa na kutaka milioni 700. Baada tu ya kuwa rais alimrudia na kununua kwa bei chini ya milioni 200! Hapa utaona matumizi mabaya ya madaraka - hasa ngazi ya rais!
 
Nyongeza kwenye orodha ya Mbogela
 
DUH! duh! duh nanyamaza sisemi
 
Naongeza tukio la msafara wake kupigwa mawe kule mbeya nalo lilimdhalilisha sana
 
mimi nadhani tuhuma nyingi zinatokana na ushauri mbaya wa wasaidizi au washauri wake au labda Mh.huwa hashauriki, raisi mara nyingi hatakiwi afanye vitu kwa utashi wake, japo anaouwezo ksheria wa kufanya hivyo lakini kwa usalama wa taifa lazima asikilize washauri wake...
 
Kuna fedheha nyingi tu, tafuta zingine gender sensitive.

mwaka huu natamani kila mkutano wake wa kampeni ningekuwapo kwa ajili ya kumponda kichwa kwa maswali
Unafikiri atakupa hiyo nafasi.Wala hatatoa nafasi ya mwasli na majibu kwa kuwa jamaa ni muoga sana wa mwasali
 
Kwa ifupi mshikaji hana uwezo wa kuongoza tu wadau, sio kuoneana huruma. Unakumbuka alishasema swala la ukame liko nje ya uwezo wake watanzania tumwombe Mungu. Yaani basi tu, na Tanzania tungeanzisha mdahalo kama ule uliofanyika pindi ya mkapa jamaa hajui hata kero za wananchi zaidi ya kero za rafiki zake. Mkapa alikuwa rais japo aliharibu mwishoni lakini alikuwa anafikiria mbali. Kwa kiongozi lazima ufanye decisions, usiogope kukosea. Na ukikosea ukamsulubu mtu inatia displini kwa wengine maaana nidhamu itakuwa juu na watalindana wenyewe maaana watajua jamaa akija hapa atatumaliza wote ni bora tumuweke wazi mbadhirifu. Mimi niko tofauti na watu wengine inawezekana, mtazamo wangu ni kwamba serikali ya kikwete mwanzo ilionekana ina perform kwa ajili ya Lowasa ukiachilia mbali kashfa zake zingine jamaa alikuwa anaogopwa kuliko kikwete. Na serikali ya wazembe wengi inabidi uoga uwepo, ebu niambieni kaama Lowasa ndo angedanganywa, kwanza wasingethubutu.
 
Naongezea kwenye 'red', alisema hata chanzo cha/ sababu za umasikini Tanzania hajui! Kwenye 'blue' inakuwaje mtu una kashfa lukuki halafu unaonekana una-perform? Tuambie walicho-perform wakati Lowasa ni PM.
 
"The media's the most powerful entity on earth. They have the power to make the innocent guilty and to make the guilty innocent, and that's power. Because they control the minds of the masses."

- Malcolm X
 
Kama ni suala la kudhalilika mi naona raisi alidhalilika sana pale jamaa wa the utamu walipotoa picha yake chafu....ile ilikuwa ni kashfa mbaya sana kwake binafsi....sijui wale watu waliishia wapi....
 
Naongezea kwenye 'red', alisema hata chanzo cha/ sababu za umasikini Tanzania hajui! Kwenye 'blue' inakuwaje mtu una kashfa lukuki halafu unaonekana una-perform? Tuambie walicho-perform wakati Lowasa ni PM.

Nadhani hicho ndicho kituko kikubwa sana kwa karne hii!
 
"The media's the most powerful entity on earth. They have the power to make the innocent guilty and to make the guilty innocent, and that's power. Because they control the minds of the masses."

- Malcolm X
Unamaanisha nini katika hoja hii.Kwamba Mkulu anaonewa na vyombo vya habri au?
 
kuoa mke wa nne mtoto wa zakia meghji hivyo kuzihirisha wazi ule msemo wa serikali ya kishikaji kwa kuwa huyo mama aliwahi kuwa waziri kwenye serikali yake so mama mkwe wa mkulu,

Jamani aibu ni nyingi mno tukiziandika zote tutakosa muda wa kuzisoma (Kule kusafiri kupindukia kama vile waziri wa mambo ya nje nako pia ni aibu inayojitosheleza) Siongelei migomo inayomwandama hata maprofesa ambao tunaamini kuwa ndio wenye akili sana ya majadiliano pia wamegoma jama si balaa hili! Wakimaliza maprofesa wanafunzi wanaingia kugoma. Kifupi kavunja Rekodi ya matukio ya aibu.
 
Endeleza tukio la jana usiku la Rais kutoa Speech ya ajabu ikiwa imejaa jazba, vijembe na ubabe. It was below standard kwa kweli!
 
Kuna lile la kumteua mtu kuwa mkuu wa wilaya wakati ana kesi ya jinai mahakamani. Kama sikosei huyu alikuwa mbunge wa zamani wa Biharamulo. Uteuzi ulisitishwa baadae wakati anakwenda kuripoti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom