Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

Status
Not open for further replies.
Hapana, mtazamo wako haumtendei haki JK hata kidogo. Kuchekiwa afya mara kwa mara kamwe hakumaanishi kwamba anayechekiwa hawezi kuugua ghafla. Kwa hiyo mimi nikiugua ghafla ni nani anapata aibu; mimi ninyeugua, dokta wangu, au watu wanaoniona nikikimbizwa kwenda hospitali?

Mkuu sio kweli kwamba ingekuwa katika nchi zilizoendelea dokta au msaidizi wake angeachichwa kazi. Kama ndio hivyo madktari wa watu binafsi USA, UK na Canada wangekuwa wanafukuzwa kazi kila kukicha mana kila siku watu wenye madaktari wao wanapata shinikizo la damu na strokes, wengine wanadondoka, wengine wanapata mshituko wa moyo wakiwa wanaendesha n.k. Sasa hapa sijui aibu anapata nani? JK kadhalilika kwa mengi yakiwemo hayo 8 uliyoyataja, ila hili la kuugua ghafla kwa kweli nimefaulu kushawishika bila mafanikio.

Mgonjwa wa Ukimwi, naomba kusema kwamba ieleweke wazi kuwa Rais wa nchi si sawa na mtu yeyote yule, ni mtu nyeti na ndio maana yanatumika Mamillioni kumchagua. Kwa maana nyingine huwa zinatumika pesa nyingi kuhakikisha kwamba anakuwa salama muda wote, kama wewe unatetea kwamba ni sawa na mtu yeyote na anaweza kuugua wakati wowote basi naamini unachokisema wewe ni kwamba hayuko sawa. Huenda ana maradhi ambayo tunafichwa na Watanzania tukae tukijua Rais wetu anaweza kuanguka tu saa yeyote ama basi hata kufa, hatuwezi kumtegemea mtu kama huyo maana huenda hata "thinking capacity" yake inaweza kuwa inaathirika aidha kutokana na ugonjwa wenyewe ama kisaikolojia maana anajijua kwamba anaumwa nini.

Tukienda mbali zaidi tunaweza kusema anaweza kufanya lolote bila kujali kitu chochote maana anajua huenda atakufa siku yeyote, sasa naomba niseme kwa amani kabisa kwamba naamini sio busara kutuwekea wagonjwa Ikulu. Kama Rais ni mgonjwa huenda kushindwa kwake majukumu kukawa kunasababishwa na haya mambo, akapumzike ajitunze na naamini watanzania watamwachia kwa amani. Lakini huku tuendako kama ugonjwa wake utaendelea kuathiri maendeleo yetu huenda akajuta yeye na ukoo wake baadaye, siliombei hili lakini itafika wakati utetezi utakuwa mgumu.
 
Nimeipenda hii thread:

1. Naomba nikumbushie raisi wa nchi alipopigwa mawe na wananchi wa mkoa wa mbeya
2. Rais alidanganywa na waziri wake Juma kapuya kuwa angelipa mshahara wafanyakazi kwa kiasi cha sh. 300,000 hata mapato ya nchi hayatoshi na badala yake tutaomba misaada ili tu wafanyakazi walipwe. lakini baadae alipewa data na kunywea kimyakimya.
 
Hapa ni wakati wa kampeni aliwaahidi wananchi wa mkoa wa Kigoma kua wakimpa kura zao ataugeuza huo mkoa na kua kama Dubai hili nalo ni pigo kubwa kwa wananchi waliokupa ridhaa ya kua madarakani mpaka leo bado wanasubiri!

Hiki chama kina vijana kweli mbona naona wazee tu hapo. Nimeshajua kwanini Mkwele anapenda kuongea na wazee
 
You will not be punished for your anger; you will be punished by your anger
zhangwei2.jpg

zhangwei3.jpg
 
Hapana, mtazamo wako haumtendei haki JK hata kidogo. Kuchekiwa afya mara kwa mara kamwe hakumaanishi kwamba anayechekiwa hawezi kuugua ghafla. Kwa hiyo mimi nikiugua ghafla ni nani anapata aibu; mimi ninyeugua, dokta wangu, au watu wanaoniona nikikimbizwa kwenda hospitali?

Mkuu sio kweli kwamba ingekuwa katika nchi zilizoendelea dokta au msaidizi wake angeachichwa kazi. Kama ndio hivyo madktari wa watu binafsi USA, UK na Canada wangekuwa wanafukuzwa kazi kila kukicha mana kila siku watu wenye madaktari wao wanapata shinikizo la damu na strokes, wengine wanadondoka, wengine wanapata mshituko wa moyo wakiwa wanaendesha n.k. Sasa hapa sijui aibu anapata nani? JK kadhalilika kwa mengi yakiwemo hayo 8 uliyoyataja, ila hili la kuugua ghafla kwa kweli nimefaulu kushawishika bila mafanikio.
Nadhani umejisahau kidogo, kuugua sio aibu kwa mtu ambaye kula na kulala kwake anajua mwenyewe, kwa wenzetu wanaopimiwa kila kitu ni skandal kuanguka ghafla tena kwenye wakati wa kampeni 2005 na 2010. Na ingekuwa hakuna wa kuwajibishwa kuhusu ugunjwa, utaelezeaje hukumu ya miaka mitano jela kwa daktari wa Wacko Jacko, wakati kila mtu anajua kifo ni lazima kwa viumbe wa Mwenyezi Mungu?
 
Regia, hili la hundi tata lilitokea na maafisa wa NMB bank sio benki ya Dunia (amaa?!)

pia suala la msafara wake kuuziwa mafuta ya kuchakachua na gari lake likazima
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom