Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,458
- 3,433
Inakuwaje WanajamiiForums
Watu tunatofautiana, kuna baadhi ya watu wametawaliwa na aibu katika kipindi fulani katika umri wao, hivyo huwafanya kukosa fursa/ vitu fulani katika kipindi hiko.
Kuna wengine wao ni maisha yao yote hutawaliwa na aibu aibu zisizo na maana baadhi huamua kutumia boosters mbalimbali ili kuweza kuishinda hali kama vile ganja, pombe na huwawezesha kuyafikia malengo yao, wengine ndohivo Wanakubaliana na hali.
Swali je kwako iliwahi kukutokea na je ulipoteza fursa gani mpaka sasa wajutia.
Mimi nakumbuka wakati nipo O-level aibu ilinitawala sana na kusababisa kumkosa mtoto mkali wa kisomali ambae aliniielewa sana, kiasi kwamba hadi leo nikikumbuka naona nilizingua sana.