Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
Habari za zilizothibitishwa ila hazijatolewa rasmi na mhusika(Mattaka) zinasema kuwa ameachia ngazi ATCL na amemteua Mkurugenzi wa fedha bwana William Haji kukaimu hiyo nafasi
Ilikuwa tetesi lakini sasa ni CONFIRMED.tetesi zinatetesa
MKURUGENZI wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka, ameula tena, baada ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Shirika la Bima ya Taifa (NIC).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Fedha na Uchumi, kupitia msemaji wake, Ingiahedi Mduma, Mattaka ni mmoja wa wajumbe watano wa bodi hiyo ambayo uteuzi wake ulifanywa na Waziri wa wizara hiyo Mustafa Mkulo.
Mattaka ni mmoja wa wajumbe wa timu iliyoteuliwa kulichunguza shirika hilo la bima, kabla ya kufanyiwa mabadiliko ambayo uteuzi wake katika timu hiyo ulizua maswali kutokana na kuliongoza ATCL iliyokuwa na matatizo lukuki yakiwemo ya kufungiwa kufanya safari zake,
Aidha, Rais Jakaya Kikwete alimteua Balozi Charles Mutalemwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Shirika hilo kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Aprili 21, 2009.
"Rais wa Jamhuri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Charles Mutalemwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia tarehe 21 aprili, 2009," ilisema sehemu ya tarifa hiyo.
Taarifa hiyo iliongeza kuwa, Waziri wa Fedha na Uchumi alimteua Justine Mwandu kuwa kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NIC kuanzia Aprili Mosi, 2009.
Kabla ya uteuzi huo Mwandu alikuwa Mkurugenzi wa masuala ya kiufundi wa Idara ya kusimamia shughuli za bima (ISD).
Wajumbe wengine wa bodi ya NIC mbali ya Mattaka ni Michael Mhando, Agnes Bukuku, Kate Bandawe na Charles Kilasile.
Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, bodi hiyo itafanya shughuli za usimamizi wa NIC pamoja na urekebishaji wa shirika hilo.
Source: Mwananchi Toleo la 12/5/2009
The president of south Africa ?
This man is da bomb!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Number one
Sizakele Khumalo - whom he met in 1959. She lives at his rural R1,5-million home at
Nkandla in northern KwaZulu- Natal and they have no children.
Ex-wife
Foreign Affairs Minister Nkosazana Dlamini-Zuma - with whom he had four children -
Msholozi, 24, Gugu, 22, Thuli, 21 and Thuthi, 19. They divorced in June 1998 due to
"irreconcilable differences."
Late wife
Kate Zuma - with whom he had five children - Saady, 29, twins Duduzile and
Duduzane both 25, Phumzile, 20 and Vusi. She committed suicide on December 8, 2000
after apparent strained relations with Zuma.
Still on honeymoon
Nompumelelo Mantuli Zuma - whom he married in January. She has two children
Thandiswe, 7 and eight month old Sinquobile.
Waiting in the wings
Thobeka Stacey Mabhija - with whom he has two children including a 5 month old
baby
Mrs Jacob Zuma number six?
Bongi Ngema - from Umlazi, has a seven month old son
Old flame
Minah Shongwe - who is Zuma's old flame. Shongwe, the sister of Judge Jeremiah
Shongwe has a 30 year old son, Edward with Zuma.
Left at the altar
Zuma also paid half lobolo for Swazi Princess Sebentile Dlamini, 38, the
granddaughter of King Sobhuza III, in 2002 but nothing has come out of it.
4 Marriages, 1 Half Lobola, 3 sleeping partners and 15 Children...????? Check the
age differences between the children from different mothers, ya neh, UZuma wa
sebenziza um'shini wakhe.!!!!!
Hayi, lena ke inzima?..
NA MATAKA JE??
MKURUGENZI wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka, ameula tena, baada ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Shirika la Bima ya Taifa (NIC).
yeah they have come a long way....ila JK lazima ajuw kwamba anajiharibia, hata kama huyu mtu ni mtaaluma sana kwenye nyanja ile basi aangalie japo na taswira ya mtu huyu kwenye jamii..bila hivyo jamii haitamuelewa..hata kama ni fadhila kuna njia nyingi amabazo anaweza kumlipa kama ni kweli
Sidhani hii ni pesa kubwa kwa TZ sasa ,hii ni sawa na Tsh 30X 100,000 = 3,000,000 hata wataalamu wa kawaida tu wanapata hizi sembuse MDkwa kula laki kila siku mpaka miezi 6
Masatu
Masatu is falling asleep
JF Senior Expert Member Join Date: Mon Jan 2007
Location: uwanja wa fisi
Posts: 2,904
Thanks: 240
Thanked 1,376 Times in 792 Posts
Rep Power: 0
Credits: 55,120,590
Re: Mattaka the new NIC Director
--------------------------------------------------------------------------------
Quote:
MKURUGENZI wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka, ameula tena, baada ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Shirika la Bima ya Taifa (NIC).
Uandishi gani huu? kuteuliwa nafasi kumbe ni kuula? je akila kweli mtamlaumu
ANS
ANALIWA