Mattaka the new NIC Director

Hii inaonyesha JK haangalii jamii inasemaje juu ya uovu wa watendaji wake

Kama angekuwa anasikiliza jamii unafikiri angemrudisha Chenge kwenye baraza lake la Mawaziri. Maana hadi Chenge mwenyewe aling'aka.."Kamuulizeni yeye mwenyewe aliyeniteua kwanini kaniteua"! It could have been one othe most honest remarks he ever made..
 
Kweli sikio la kufa halisikii dawa.... Haya tungoje tuone manake mh, kweli naona Mkuu Hauxt..... umetoa maneno mazito sana hapo juu....

Mkuu M.M.M, no comments!!
 
jamani mpaka sasa ni tetesi, tusubiri kidogo tuone na ndipo tuanze kuchambua pumba na mchele.
 
Yangu macho na masikio. Kweli ukistaabu ya Musa.........................
Nani zaidi Mwizi wa kiwira au Mlinda fisadi??????????????????????????
 
Hayo ndo mambo ya ushoga.Mataka kaiua ATCL sasa anaenda kuifufua NIC?kama kweli ana uwezo mbona alishindwa kuwasafirisha waislam kwenda hija?Inawezekana huko NIC kuna hela zimekaa kaa vibaya wanataka wazitumie kwenye uchaguzi 2010 kupitia kwa mataka.This is purerly commedian.
 
Mpita Njia heshima mbele mkulu,

kwanini serikali wasitangaze position kama hizi kwenye vyombo vya habari, then watanzania wenye vigezo watume maombi (CVs), na baada ya hapo wa subcontact kampuni kama PWC au Deloitte and T wawafanyie usaili na ku-short list majina kama matatu ili serikali wachague mtu wanayemtaka, tatizo liko wapi?..mimi nadhani kuna watanzania wengi tuu ambao wanauwezo wa kazi kama hizi.

MJ

Mkuu, nduio maana kuna hili vuguvugu la madai ya mabadiliko ya katiba. Moja kati ya vitu vinavyotakiwa kubadilishwa ni kama hivi. lakini huu (uteuzi wa wakurugenzi) unaweza kuwa mfano mdogo kuonyesha mamlaka makubwa ya rais. Mabadiliko ya katiba yanataka kugusa masuala mengi ya msingi yanayolenga kupunguza madaraka ya rais kwa sababu kwa jinsi katiba ilivyo, kama rais ataamua kutekeleza ipasavyo madaraka yake kwa mujibu wa katiba hiyo, rais wetu hatokuwa na tofauti kubwa sana na dikteta.
 
Sasa naweza nikaweka puzzle zangu vizuri na kusema kuwa historia inajirudia kwa namna fulani. Mnakumbuka kuwa Mwapachu alishawahi kuwa DG sijui GM wa ATC miaka ya 80 alipotoka hapo alikwenda wapi? Sio Bima baadae akawa nani? mwanasiasa....... Wakuu wenye data watupe.
 
David Mataka ninayemfahamu tangu mwaka 1990 ni huyu hapa;

1. Ni mchapa kazi mzuri sana
2. Ana uwezo mzuri wa kuona mbali sana zaidi ya huyo aliyemteua
3. Ni mbunifu na msomi mahiiri
4. Mwenye kupenda na kuendekeza starehe
5. Shoga
6. Ana Ushawishi kwa watendaji wake
7. Ana uwezo wa kuleta mabadiliko akipewa vitendea kazi.

Kutokana na rekodi yake mbaya ya utendaji huko nyuma,PPF na ATCL David Mataka hafai tena kupewa dhamana ya umma kuongoza au hata kusimamia thamana katika Kampuni, au shirika lolote lenye mitaji ya serikali.
 
Aisee, kwamba ametoa tiba isiyo sahihi kwa mgonjwa aliyekuwa na mafua hadi kufa kwa hiyo tumpe mgonjwa ambaye yupo icu kwamba atamponyesha.
 
Mpita Njia heshima mbele mkulu,

kwanini serikali wasitangaze position kama hizi kwenye vyombo vya habari, then watanzania wenye vigezo watume maombi (CVs), na baada ya hapo wa subcontact kampuni kama PWC au Deloitte and T wawafanyie usaili na ku-short list majina kama matatu ili serikali wachague mtu wanayemtaka, tatizo liko wapi?..mimi nadhani kuna watanzania wengi tuu ambao wanauwezo wa kazi kama hizi.

MJ
Utendaji wa mtu unategemea Mfumo(System) uliopo kwenye organization husika.
Walionekana Non-performers, hao hao wakienda kwenye organization zenye system nzuri performance zao zinameet organizastion's expectations or zina exceed the same.

Tujiulize mbona tuna wasomi wengi?,wakipewa hizo nafasi wanashindwa kudeliver.

Wengi wanakuwa hodari kukosoa wanapokuwa nje, tumewapa mashirika na wizara wameshindwa.

TATIZO SIYO MATAKA.

NI SYSTEM zilizopo kwenye mashirika yetu ambazo siyo result-oriented.
 
Mkuu, nduio maana kuna hili vuguvugu la madai ya mabadiliko ya katiba. Moja kati ya vitu vinavyotakiwa kubadilishwa ni kama hivi. lakini huu (uteuzi wa wakurugenzi) unaweza kuwa mfano mdogo kuonyesha mamlaka makubwa ya rais. Mabadiliko ya katiba yanataka kugusa masuala mengi ya msingi yanayolenga kupunguza madaraka ya rais kwa sababu kwa jinsi katiba ilivyo, kama rais ataamua kutekeleza ipasavyo madaraka yake kwa mujibu wa katiba hiyo, rais wetu hatokuwa na tofauti kubwa sana na dikteta.
Shida yangu siyo madaraka ya Rais katika kuteua Wakurugenzi and the like.
Shida ipo kwenye MFUMO WA UENDESHAJI wa haya Mashirika.
 
Narudia kusema tena; "Wasomi Wetu Ndio Hao Hao...mnataka Rais achague kutoka wapi?"

Tulioko nje hatutaki kurudi..!!
 
Mnashangaa nini hapo wakati kitu ilikuwa wazi. Siku si nyingi utasikia tena Dr Idris Rashidi waziri wa fedha. Wizi Mtupu.:confused:
 
Narudia kusema tena; "Wasomi Wetu Ndio Hao Hao...mnataka Rais achague kutoka wapi?"

Tulioko nje hatutaki kurudi..!!

Dont speak for all of us..wengine tunataka kurudi..serikali iwe na hr departments zenye uwezo na zenye kujua shule za ukweli huku nje na waruhusu tutume cv waone kama wote hatujarudi!
System ndo inatupa mawazo ya kubaki huku.
 
Utendaji wa mtu unategemea Mfumo(System) uliopo kwenye organization husika.
Walionekana Non-performers, hao hao wakienda kwenye organization zenye system nzuri performance zao zinameet organizastion's expectations or zina exceed the same.

Tujiulize mbona tuna wasomi wengi?,wakipewa hizo nafasi wanashindwa kudeliver.

Wengi wanakuwa hodari kukosoa wanapokuwa nje, tumewapa mashirika na wizara wameshindwa.

TATIZO SIYO MATAKA.

NI SYSTEM zilizopo kwenye mashirika yetu ambazo siyo result-oriented.

Bonnie 1974,

Sasa tusiache issue kama hizi zibaki zinahang, kusiadiane kuzikata mpaka mwisho.

Sasa wewe ulikuwa na mawazo gani, wapi unadhani tunapaswa kuanza kurekebisha utendaji katika haya mashirika ya uma mpaka mawizarani.

Kwa sababu na uhakika huwa wanapita humu jamvini na watajifunza mengi.

MJ
 
Dont speak for all of us..wengine tunataka kurudi..serikali iwe na hr departments zenye uwezo na zenye kujua shule za ukweli huku nje na waruhusu tutume cv waone kama wote hatujarudi!
System ndo inatupa mawazo ya kubaki huku.

Jesus Christ!!!!!
 
Kuna jamaa angu mmoja iwa ananiambia cheka na kila mtu itafika kipindi utakula nao vizuri tu utakuwa unapigiwa mapande tu....unachafua hapa unakabidhiwa kitengo kingine ndo uzuri wa kucheka na watu vizuri.
 
Mheshimiwa wengine tumesoma miaka mingi sana na experience ya kutosha, it scars the ego kuchekelea wapuuzi...kuna wengi sana wanasema rudi nyumbani vumilia chekelea ukipewa chance ng'ata and make changes..lakini tunasahau kuna kitu kinaitwa capture..ukiniweka mimi wizarani miaka 7 nivumilie nisubiri wakati wangu kufanya kazi by the 8th yr nina familia na wajukumu kibao, ntaishia kuendeleza tuu yale niliyokuwa siyafagilii..hence me blaming the system, inaitaji kusafishwa yote..kuna watu wamefanya kazi mawizarani for 30-35yrs same posts..should we expect such people to hire us and make them look bad at work??
 
Back
Top Bottom