Kwa kada moja?Kuna makosa hapo kuna 68% wawili moja kachukuliwa mwingine kaachwa, pia 64% wako watatu mmoja kachukuliwa wawili wakala panga. Hii sio sawa ni double standards, wote wachukuliwe au waachwe.
ndioKwa kada moja?
Imekuwaje kwakomkuu tulikuwa wote mi nilikuwa upande wa kada ya mazingirq