Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo Rasmi ya Udiwani Kata hii ya Nanjara Reha ni haya:

CHADEMA KURA 2370
CCM KURA 1134

Ahsanteni sana Wana Nanjara Reha kwa kuendelea kuiamini CHADEMA na kuitupilia mbali CCM. Mmechagua Mabadiliko mkaacha Mafisadi! Mmechagua jema na kuacha baya! Mmefanya maamuzi sahihi.

Mungu awabariki sana!
Mkuu mallya umefanya kazi nzuri sana,Hongera sana mkuu kwa kazi hiyo ya mfano.
 
Mkuu siyo Masaburi ndio ukweli wenyewe, nimepigiwa simu na reliable source, ni ngumu kumeza, hata hivyo hujanitendea haki mkuu.

nisamehe mkuu na hawa wasukuma wakicheza na badilisha kabira..
 
Matokeo rasmi kata ya Nanjara reha rombo ni cdm 2,370 , ccm 1,134

source: John Mrema
 
Matokeo rasmi kata ya Nanjara reha rombo ni cdm 2,370 , ccm 1,134

source: John Mrema
 
Matokeo ya jumla kutoka Mahenge mjini CCM imeshinda,source Mwenyekiti wa CDM Jimboni hapo, its hard tu believe but that is the reality.
 
nisamehe mkuu na hawa wasukuma wakicheza na badilisha kabira..

Haaaa umesamehewa mkuu, usibadili kabila mkuu, suala la msingi ni kuendelea kutoa elimu, unajua zile propaganda za kuwa mgombea wetu ni mwizi ziliathiri sana, nafikiri next time tumsimamishe yule jamaa mwingine.
 
Full Time:
Vituo vyote 30 vimehesabiwa, Matokeo ni haya.

CHADEMA JUMLA YA KURA NI 2370
CCM JUMLA YA KURA NI 1134

AHSANTENI SANA WANA NANJARA REHA - ROMBO.

Asante sana mkuu kwa kazi nzuri sana.Ubarikiwe
 
Kata za porini hazitabiriki kulingana na wapiga kura wake kutojielewa sawasawa,matokeo yoyote kutokea huko ni kama tu kuongeza nguvu kwenye kata zile zenye wapiga kura BINAADAMU,ni sawa na maji ya kunywa ukiwa ulingoni.
 
Preta,
Hongera kwa ushindi. Msalimie JUMANNE MJUSI.

mimi nilisema.....CHADEMA lazima ichukue Daraja Mbili.......saa zingine tukiwa tunaongea mtusikilize.........karibu kwenye party ya ushindi....
 
Back
Top Bottom