Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Mbona kama hali si shwari sana kwa chadema, mpaka sasa ukiacha daraja 2 na Rombo kwingine kote matokeo yanakatisha tamaa, anyway ngoja tuendelee kusubiri

Mkuu Maeneo Mengine kama Pwani bado ukombozi haujafika sawasawa. Ni Maskini wa Kutupwa lakini wao na CCM ni kama Samaki na Maji
 
nini hasa wapenzi wa cdm wamikoa isiyo kuwa ya kazikazin wamezidiwa na wachaga wa kazikazini kawani wanashangilia ushindi wa kata mbili za kazikazini wakati chaguzi zimefanyika nchi nzima
 
Mbona kama hali si shwari sana kwa chadema, mpaka sasa ukiacha daraja 2 na Rombo kwingine kote matokeo yanakatisha tamaa, anyway ngoja tuendelee kusubiri

Lakini kumbuka mkuu haya ni matokeo ya awali tu wala usitie shaka ushindi upo usikate tamaa!!!!!!
 
Ni dalili nzuri, inatakiwa jitihada za kuendelea kupunguza kura za CCM zaidi ya hapo!!
 
Kwa taarifa nlizo nazo kutoka kwa katibu CHADEMA wilaya ya Bahi HALID ZOYA,msalato magamba wameshinda kwa tofauti ya 200.
 
We sindio muhasisi wa ccm b yenye hasira ya kunyimwa rushwa? Mmeshapata usajili?

Ukombozi wa ukweli wa Mtanzania utaletwa na Majemedari kutoka CCM - Halisi na sio Chadema tuungane pamoja katika harakati mupya za ukuombozi wa Taifa letu kutoka mikononi mwa Mafisadi wa CCM na Matapeli/wezi Chadema
 
nini hasa wapenzi wa cdm wamikoa isiyo kuwa ya kazikazin wamezidiwa na wachaga wa kazikazini kawani wanashangilia ushindi wa kata mbili za kazikazini wakati chaguzi zimefanyika nchi nzima

kumbe wewe ni kichaa?
 
CCM wajipange sana sana mwaka 2015 itakuwa ngoma nzito sana hasa wabunge,wengi sana wataanguka sana na vijana wengi kuingia bungeni
 
uvccm_wakipigana.jpg

Dalili zailianza mapema kujionyesha pale umoja wa vijana kama inavyoonyesha kwenye picha, hii ndiyo stile mpya ya kushangilia ushindi wa chaguzi zao? Tunasubiri taswira za stile ya kushangilia kuibuka na viti vya madiwani.
 
maeneo mengine kama pwani kwakweli...ni aibu coz hawajaelimika...masikini wa kutupwa.. na bado wanachagua CHANZO CHA MATATIZO (CCM) naonea huruma daaa
 
Mkuu Maeneo Mengine kama Pwani bado ukombozi haujafika sawasawa. Ni Maskini wa Kutupwa lakini wao na CCM ni kama Samaki na Maji

Kaka mbona hizi ni kejeli kama si matusi,umaskini wao ni kwa sababu wamefanya kitu ambacho hupendi wewe na nafsi yako,ama umaskini wao ni nini,tukifika hapa ndipo mimi huwa napingana na wewe,ni lazima uheshimu pia mawazo na maamuzi ya wengine hata kama huepndi cha msingi ni kuendeleza mapambano ili nao waelewe lakini si matusi ya namna hii.
 
Back
Top Bottom