Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

mkuu, umepata matokeo!? Embu weka vizuri hii bad news!

Habari nilizonazo ni kwamba Bangata kuna utata lakini the margin is close...si unajua margin ikiwa close uchakachuaji uhakuwa inevitable?
 
By JACADUOGO2.
Matokeo Kamali ya udiwani kata ya Ipole Sikonge!


CHADEMA - 577.
CCM - 373.
CUF - 48.
Tofauti 204. Ushindi kwa CHADEMA!


Source: Mimi mwenyewe niko kwenye eneo la tukio.


Hivi hawa ambao bado wanaipa CCM kura wanatoka wapi?
 
Habari nilizonazo ni kwamba Bangata kuna utata lakini the margin is close...si unajua margin ikiwa close uchakachuaji uhakuwa inevitable?

mkuu, nimesikiliza Sunrise radio hapa jijini. Wametangaza mtokeo ya vituo vitatu na cdm wanaongoza kwa kura nyingi sana. Yalikuwa yanasubiriwa matokeo ya kituo kimoja tu!
 
nini hasa wapenzi wa cdm wamikoa isiyo kuwa ya kazikazin wamezidiwa na wachaga wa kazikazini kawani wanashangilia ushindi wa kata mbili za kazikazini wakati chaguzi zimefanyika nchi nzima

Tunaukataa ukabila kama ukoma! Shindwa na ulegee kama mkufu
 
Hadi sasa tuna kata huku rombo daraja 2 arusha na sikonge. Chadema mwendo mdundo hadi kielewekee
 
Kata nne so far! The biggest news ni CHADEMA kushinda Sikonge, of all the places! Leo nimeshuhudia kifo cha ccm, CHADEMA kushinda unyamwezini! Unbelievable!

huo ni mwanzo 2 mkuu til 2015 tutawavua magamba yote..
 
mkuu mleta thread tuambatanishie idadi ya kata zilizoenda CDM kwa hapo chini.
 
Ukombozi wa ukweli wa Mtanzania utaletwa na Majemedari kutoka CCM - Halisi na sio Chadema tuungane pamoja katika harakati mupya za ukuombozi wa Taifa letu kutoka mikononi mwa Mafisadi wa CCM na Matapeli/wezi Chadema
Ni chama kipya tena? Tujuze kama kimeshasajiliwa mkuu
 
Every time i refresh the thread, I get no latest news! Just report! No news is good news.
 
KUTOKA SIKONGE Matokeo kamili
ya kata ya Ipole Sikonge ni kama
yafuatayo: CHADEMA - 577. CCM -
373. CUF - 48. Tofauti ni 204.
Mshindi ni kijana mdogo wa
CHADEMA Kamanda Mohammed
Hija.
 
Jimbo la Vunjo, kata ya Kilema kusini TLP kimeshinda..anyway, kwa takwimu hizo hapo juu CDM imebakiza hatua chache na kurekebisha makosa madogomadogo ya kiufundi iingie ikulu..

Ila kubwa hapa Vunjo na kwingineko, bado vijana wamekuwa nyuma sana kupiga kura! Kina mama na wazee wamejitokeza kwa uchache wao na kunyakua ushondi wa mezani kama kwa TLP..Ningeomba zifanyike jitihada za makusudi ili daftari la kudumula wapiga kura lipite mapema kuwezesha kila mtu kijiandikisha.

Katiba pia isimwekee mipaka mpiga kura, kama CCM na serikali yao walipo fanya UHUNI huo 2010..mtu apige kura popote alipo kama ilivyo kwa matumizi ya ATM card na kadi ya mpiga kura yenyewe..Hongera kwa madiwani wateule wa CDM.
 
Matokeo ya awali:

Daraja Mbili Arusha:

Chumba cha kwanza, Chadema 74, CCM 21.

Bado uhesabuji unaendelea! Kulikuwa na vurugu za hapa na pale, CCM walitaka kuingiza maboxs yenye kura bandia! Wananchi wamekuwa wakali km pilipili.

Source: Sunrise radio.

KUTOKA SIKONGE Matokeo kamili
ya kata ya Ipole Sikonge ni kama
yafuatayo: CHADEMA - 577. CCM -
373. CUF - 48. Tofauti ni 204.
Mshindi ni kijana mdogo wa
CHADEMA Kamanda Mohammed
Hija.
 
nini hasa wapenzi wa cdm wamikoa isiyo kuwa ya kazikazin wamezidiwa na wachaga wa kazikazini kawani wanashangilia ushindi wa kata mbili za kazikazini wakati chaguzi zimefanyika nchi nzima

We Bint baada ya kutolewa Makamasi UVCCM Naona umeibukia JF Kutafuta Bwana, na amin nakwambia utarukiwa very soon
 
JAMANI NASKIA LUDEWA UKO CHADEMA KASHINDA MWENYE MORE UPDATEs ATUJUZe
 
Back
Top Bottom