Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Too bad for CUF. Sikonge ndiko nyumbani kwa Prof Lipumba. Big up CDM.
 
Tabora........Wanyamwezi.......(Wasukuma) mwamko umeanza kuonekana .Freedom is coming tomorrow...big up sana
 
Leta mwawaza imekuaje, nyumbani huko jamani!! Lol can't wait to hear some good news for CDM.
 
mbona bangata - Arusha hawatupi matokeo ? kwanini lakiniiiiiiiiiiii ? kwani huko kuna nini cha kutisha ?????????

mkuu fatilia yaani daraja 2, bangata na rombo ni chadema labda uliza kwingine
 
Mkuu siyo Masaburi ndio ukweli wenyewe, nimepigiwa simu na reliable source, ni ngumu kumeza, hata hivyo hujanitendea haki mkuu.

Nakuunga mkono baada ya muda mfupi matokeo yatakuwa hewani humu humu mwambie asubiri kidogo bado matokeo ya vituo vitatu tu niweke matokeo hapa nitapata kwa simu muda si mrefu,lakini tayari CCM imeshinda.
 
Back
Top Bottom