WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Mkuu Hakuna Kejeli Hapo Maeneo ambayo CCM inashindaga ni maeneo ambayo CCM iliwafanya watu hao kuwa Maskini and thay capitalizing it
Sikubaliani na wewe mkuu si kila mtu anataka mabadiliko hayo unayoyafikiria,kila mmoja anafikiria lake na na shida yake,sasa huwezi kulazimisha iwe kama unavyotaka,halafu tambua kwamba kama ni suala la mabadiliko linahitaji elimu zaidi kwani kulikuwa na watu asiopenda mabadiliko kama kanda ya Ziwa??kila kitu ilikuwa Ndoho tabu lakini leo utwaambia nini?kitu cha kufanya hapa ni kuendelea kutioa elimu tu lakini si kuwaona kwamba hawafai.