Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Ukombozi wa ukweli wa Mtanzania utaletwa na Majemedari kutoka CCM - Halisi na sio Chadema tuungane pamoja katika harakati mupya za ukuombozi wa Taifa letu kutoka mikononi mwa Mafisadi wa CCM na Matapeli/wezi Chadema

Anzisha uzi wako wakutandikana makonde mjadili hizi ndoto zako.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huu ni uzi wa kufutwa we unaona una lolote? Kuna watu wana tegemea jf kwa taarifa mtu una fungua una kutana na vituko vya namna hii!

Kwa nini mtu asianzishe uzi akiwa na taarifa kamili?
Mbona mnaleta mchezo?
Huu ni ubaguzi, na sidhani kama hii ndio sera ya Jamiiforums
 
Kata ya lwezera wilayani Geita matokeo ya vituo 7 KATI YA 20 CCM-392,CHADEMA 306,C.U.F-103 hii ni kwa mujibu wa Katibu wa CHADEMA wilaya ya Geita Rogers Luhega (kamanda),na kuthibitishwa na mimi mwenyewe kwenye site,naendelea kukusanya data za vituo vingine.
 
Big up!! ccm wakaombe kura ulaya anakoshindj mwenyekiti wao
 
Ukombozi wa ukweli wa Mtanzania utaletwa na Majemedari kutoka CCM - Halisi na sio Chadema tuungane pamoja katika harakati mupya za ukuombozi wa Taifa letu kutoka mikononi mwa Mafisadi wa CCM na Matapeli/wezi Chadema

harakati mpya zipi tena tofauti na chadema au unataka UMUVCCM ?dawa nikuondoa ccm tunawapa dhamana chadema nao wakifanya kutawala kwa kulindana tunawaondoa tunaweka cuf au udp au tlp
 
Naona ujui hata unaelekea wapi

Ukombozi wa ukweli wa Mtanzania utaletwa na Majemedari kutoka CCM - Halisi na sio Chadema tuungane pamoja katika harakati mupya za ukuombozi wa Taifa letu kutoka mikononi mwa Mafisadi wa CCM na Matapeli/wezi Chadema
 
Ukombozi wa ukweli wa Mtanzania utaletwa na Majemedari kutoka CCM - Halisi na sio Chadema tuungane pamoja katika harakati mupya za ukuombozi wa Taifa letu kutoka mikononi mwa Mafisadi wa CCM na Matapeli/wezi Chadema

we mwnamke mbeya sana, mi nataka unijibu napinduzi yako yameishia wapi nimeona jana umekwida na kijana mkakamavu kabsa wa green guard
 
Mbona kama hali si shwari sana kwa chadema, mpaka sasa ukiacha daraja 2 na Rombo kwingine kote matokeo yanakatisha tamaa, anyway ngoja tuendelee kusubiri
 
vipi makamanda mbona kimya ? au tayari ushindi tuendelee kusherehekea?
 
Hivi majamaa wanao ipigia kura ccm sijui ni majitu ya aina gani. tuna kazi kubwa sana ya kuwa badirisha watu.
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeessssssssss
poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
Back
Top Bottom