Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Thread nzima, imekaa KIMIPASHO na KITOTO zaidi kuliko nilivyodhani! kuna vilaza wanataka kuharibu the PRIDE of jamiiforums
 
Vipi......issue ni matokeo. Malumbano yafuate baadaye tusitoke nje ya mada. Wenye matokeo wamwageni humu...kaskazini naona bomba......wa maeneo mengine tujuzeni basi...people.............
 
Nimeshatangaza ushindi,CHADEMA tuna jumla ya kura 2156,Ccm 1282
Safi sana, make ccm wangekuwa radhi wabadilishane hata na vituo 5 kuliko kimoja cha arusha mjini, pongezi kwenu tuliwaamini, hamjatuangusha..thankyou vere much!!!
 
Mambo yanakwenda njema.
Mkuu n00b vipi vituo vya mwanza na shinyanga?
 
Last edited by a moderator:
Kamanda kwa zamani ilikuwa vgum kwa upinzan kupata kura Dom kwa sasa watu wamebadilika hvyo 2tegemee change.
 
Vipi......issue ni matokeo. Malumbano yafuate baadaye tusitoke nje ya mada. Wenye matokeo wamwageni humu...kaskazini naona bomba......wa maeneo mengine tujuzeni basi...people.............

Mkuu kuna watu wanakera sana ndio maana unaona vitu kama hivyo vinajitokeza,sasa wewe hebu fikiria kama watu tuko kwenye kutafuta matokeo na kuweka humu ndani halafu mtu anakuja na ushabiki wake unategemea nini?!,anyway ni kweli huyu anataka kututoa kwenye mada.
 
Halafu tume watangaze matokeo kesho usiku waseme tunaweza kuwaamini kweli. Big up liberation fighters!!!
 
Full Time:
Vituo vyote 30 vimehesabiwa, Matokeo ni haya.

CHADEMA JUMLA YA KURA NI 2370
CCM JUMLA YA KURA NI 1134

AHSANTENI SANA WANA NANJARA REHA - ROMBO.
 
Thread nzima, imekaa KIMIPASHO na KITOTO zaidi kuliko nilivyodhani! kuna vilaza wanataka kuharibu the PRIDE of jamiiforums

Hata kwenye hii huwezi kupata chochote?
Basi utakuwa umesoma havadi kijiweni sec school.
ImageUploadedByJamiiForums1351437806.682896.jpg
 
Kilichobaki ni kutangazwa rasmi na msimamizi wa uchaguzi.

Matokeo:
Kituo cha shule ya msingi daraja mbili:-
Kituo C3:
CHADEMA - 60
CCM - 57

KITUO C2:
CHADEMA - 73
CCM - 39

KITUO C1:
CHADEMA - 91
CCM - 41

KITUO B3:
CHADEMA - 52
CCM - 47

KITUO B2:
CHADEMA - 61
CCM - 41

KITUO B1:
CHADEMA - 71
CCM - 42

KITUO A4:
CHADEMA 50
CCM - 40

KITUO A3:
CHADEMA - 45
CCM - 24

KITUO A2:
CHADEMA -51
CCM - 31

KITUO A1:
CHADEMA - 65
CCM - 28

KITUO E3:
CHADEMA - 74
CCM - 44

KITUO E2:
CHADEMA 65
CCM - 41

KITUO E1:
CHADEMA - 70
CCM - 42

KITUO D4:
CHADEMA - 59
CCM - 37

KITUO D3:
CHADEMA - 68
CCM - 41

KITUO D2:
CHADEMA - 63
CCM - 30
Nitaendelea kuwajuza

peoplessss.......! Power.
 
Back
Top Bottom