Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,360
Sipati picha utakavyokuwa uchaguzi mdogo kule kwa John Komba na Sumari!
Mkuu kwani hao ndiyo watakufa au watajiuzulu? Weka bayana.
Sipati picha utakavyokuwa uchaguzi mdogo kule kwa John Komba na Sumari!
Hatimae kashindye awa Mbunge mpya Igunga. Source: ndani ya ukumbi wa halmashauri.
kwa hiyo ile nguvu ya mawaziri wote na ahadi uongo ndo inaleta kura elfu 4?
Hatimae kashindye awa Mbunge mpya Igunga. Source: ndani ya ukumbi wa halmashauri.
Hatimae kashindye awa Mbunge mpya Igunga. Source: ndani ya ukumbi wa halmashauri.
One against One yangshodan....hao viongozi wa sisiemu wameenda kuchakachua huko vijijini,wafuateni huko huko!!!
mannnnnnnnnnnn to mannnnnnnnn!
musa akawaambia wana wa israel msilie mkauone wokovu wa bwana wamisri mnao waona leo amtawaona tena MILELE.Mungu yuko pamoja na chadema atasimamia na kulinda kura zote halali.Simama na ukauone wokovu wa BWANA
be serious!
Ma-CCM utayajua na ID moja kutumiwa na wa2 zaidi ya 1 ...Ona Faiza,Rejao na wengineo ambao wanaibuka kila UCHAO ndo wameingia SHIFT ya Usiku... WANANGUVU SANA SANA saa hizi...
Jamani nimesha amka vipi? nani kashinda Igunga? naomba mnijuze au ndo yale yale kama washika bunduki, Arsenal?
Ma-CCM utayajua na ID moja kutumiwa na wa2 zaidi ya 1 ...Ona Faiza,Rejao na wengineo ambao wanaibuka kila UCHAO ndo wameingia SHIFT ya Usiku... WANANGUVU SANA SANA saa hizi...