UPDATED:
Dalili zinaashiria CCM kuibuka na ushindi wa 49% dhidi ya CHADEMA ambayo ina 45% hivi...
![]()
![]()
Mbona kata ya Igunga haina data? hapo namba 20!!!
UPDATED:
Dalili zinaashiria CCM kuibuka na ushindi wa 49% dhidi ya CHADEMA ambayo ina 45% hivi...
![]()
![]()
Hao wamechakachua tu si bure watusiku hizi tumefunguka vizuri kuhusu ccm si lolote c chochote.
UPDATED:
Dalili zinaashiria CCM kuibuka na ushindi wa 49% dhidi ya CHADEMA ambayo ina 45% hivi...
![]()
![]()
Yametimia, wapigakura takribani milioni 46 na CDM wameibuka na ushindi wa 42% na vyama vingine vidogo vidogo including CUF 7%
matokeo scanned hapo juu ni uongo ni sppining za ccm wakiongozwa na january, so wait , ndio maana igunga haionyeshwi idadi ya kura kuna matokeo yanataka kupangwa will update you soon.