Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.
Hebu tuwe serious na tuache ushabiki, Zitto amekiri CDM kushindwa kwa Kupata 45% na CCM 49% . Kama naibu katibu mkuu wa chama anakiri kushindwa nyie data hizo mnazitoa wapi?

Mkuu usiwe Mpumbavu, kwenye twitter aliyepost kwenye wall za Zitto jina lake linasomeka pumbavu zako!
 
CDM imeshinda Igunga, taarifa za ndani kabisa zinathibitisha hilo, Kinachofanyika toka usiku wa jana ni kuingiza matokeo kwenye result management system ile program ya Riz One ili wachakachue.
 
Ndugu zangu, tuwe wakweli tu, tumepoteza Igunga. Tumepoteza kwa sababu moja kubwa- shahada za wapiga zimenunuliwa sana. Kata zote ambazo chadema imeshunda, turn out ilikuwa kubwa. Kata zote ambazo ccm imeshinda turn out ni ndogo sana sana. Hii tabia ya kununua shahada inayofanywa na ccm inaharibu kabisa maana ya uchaguzi. Kuna haja kufikiria kama itabidi tuwe na compulsory voting.
Toka jana usiku saa tano sisi tulishahitimisha kuwa kwa figures za matokeo toka vituoni hatuwezi kutangazwa washindi.
Ni muhimu kwenda mahakamani ili mahakama iweze kuamua masuala fulani fulani kwa mfano Mawaziri kushiriki katika kampeni na kutoa ahadi za kiserikali. Pili, tume kukataza watu ambao majina yao yamo kwenye daftari lakini hawana shahada, kupiga kura.
Suala la Kafumu kukataa kusaini, nadhani tuache masuala haya ambayo ndani ya dakika chache yatagundulika ni uwongo. Toka tunahesabu mpaka tunamaliza hatukuona 'margin' kubwa. Kata ya Igunga mjini ndio imechangia sana matokeo mabaya.
Bitter but truth

Mkuu huwezi ukawa na compulsory voting ya kuforce watu kuchagua mtu (unless kwenye ballot kuna non of the above..); cha kufanya ni kuhamashisha watu ku-vote na kujitokeza suala la kununua au kuuza shahada ni kupata visibitisho na kushika wahusika na kuwapeleka mahakamani

Ila cha muhimu sana ni wapinzani kujipanga wote na kushindana na CCM (sio kutengena) na kama turn out ndogo ndio CCM wameshinda na turnout kubwa Chadema wameshinda na Chadema mnajua tatizo ni nini basi cha kufanya ni kushughulikia tatizo unless otherwise 2015 tutakuwa tunaongelea same story
 
Waliokataa kusaini ni magwanda na si CCM kama wanavyotaka iaminike.
 
Wameshakamilisha wizi wao. Waliopiga kura inasemekana hawafiki hata 70 elfu. Sasa kuhesabu kura 70,000 kunahitaji masaa yote hayo? au waliokuwa wanahesabu kura hizo ni ngumbaru?
 
Ndugu zangu, tuwe wakweli tu, tumepoteza Igunga.

Tumepoteza kwa sababu moja kubwa- shahada za wapiga zimenunuliwa sana. Kata zote ambazo chadema imeshunda, turn out ilikuwa kubwa. Kata zote ambazo ccm imeshinda turn out ni ndogo sana sana. Hii tabia ya kununua shahada inayofanywa na ccm inaharibu kabisa maana ya uchaguzi. Kuna haja kufikiria kama itabidi tuwe na compulsory voting.

Toka jana usiku saa tano sisi tulishahitimisha kuwa kwa figures za matokeo toka vituoni hatuwezi kutangazwa washindi.
Ni muhimu kwenda mahakamani ili mahakama iweze kuamua masuala fulani fulani kwa mfano Mawaziri kushiriki katika kampeni na kutoa ahadi za kiserikali. Pili, tume kukataza watu ambao majina yao yamo kwenye daftari lakini hawana shahada, kupiga kura.

Suala la Kafumu kukataa kusaini, nadhani tuache masuala haya ambayo ndani ya dakika chache yatagundulika ni uwongo. Toka tunahesabu mpaka tunamaliza hatukuona 'margin' kubwa.

Kata ya Igunga mjini ndio imechangia sana matokeo mabaya.

Bitter but truth

Ahsante mkuu kwa taarifa hii.

Labda ningependa kufahamu sababu za ucheleweshwaji kutangaza matokeo ya jumla kama hali yenyewe ndiyo hii.
 
Ndugu zangu, tuwe wakweli tu, tumepoteza Igunga.

Tumepoteza kwa sababu moja kubwa- shahada za wapiga zimenunuliwa sana. Kata zote ambazo chadema imeshunda, turn out ilikuwa kubwa. Kata zote ambazo ccm imeshinda turn out ni ndogo sana sana. Hii tabia ya kununua shahada inayofanywa na ccm inaharibu kabisa maana ya uchaguzi. Kuna haja kufikiria kama itabidi tuwe na compulsory voting.

Toka jana usiku saa tano sisi tulishahitimisha kuwa kwa figures za matokeo toka vituoni hatuwezi kutangazwa washindi.
Ni muhimu kwenda mahakamani ili mahakama iweze kuamua masuala fulani fulani kwa mfano Mawaziri kushiriki katika kampeni na kutoa ahadi za kiserikali. Pili, tume kukataza watu ambao majina yao yamo kwenye daftari lakini hawana shahada, kupiga kura.

Suala la Kafumu kukataa kusaini, nadhani tuache masuala haya ambayo ndani ya dakika chache yatagundulika ni uwongo. Toka tunahesabu mpaka tunamaliza hatukuona 'margin' kubwa.

Kata ya Igunga mjini ndio imechangia sana matokeo mabaya.
Bitter but truth

Unapo kutana na maneno na watu kama hawa ndio unapata jawabu kwanini yule kamanda mkuu wa wapiganaji wa NTC kule bengazi libya aliuwawa kwa namna na jinsi ile. Walimua wakajaribu kuchoma maiti yake ili asipate hata heshima ya kuzikwa.
 
Yah ni kweli CDM imeshinda ndio maana mpaka dakika hii NEC hawajatangaza matokeo wanadai bado wanahesabu kura.

kwani mkuu kila wanapochelewesha matokeo maana yake cdm imeshinda.. kwa hili naomba tuwenauelewa wa hali ya juu sana tusipokuwa makini litakuja kutula sisi wenyewe..
 
Unapo kutana na maneno na watu kama hawa ndio unapata jawabu kwanini yule kamanda mkuu wa wapiganaji wa NTC kule bengazi libya aliuwawa kwa namna na jinsi ile. Walimua wakajaribu kuchoma maiti yake ili asipate hata heshima ya kuzikwa.

Hapana mkuu usifike huko.

Hata kama mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni NEC, hii haiwezi kuwa sababu ya kumtoa mtu roho.

Mimi ninachojiuliza mpaka sasa, ni kitu gani kimechelewesha matokeo kutangazwA??
 
U sound true mkuu thou simsomi poa huyu Zito ....Why simply like this?

Huwezi kumsoma poa kwa kuwa yeye si mtu wa NEC kwahiyo taarifa yake haiwezi kuaminiwa moja kwa moja ingawa inaweza kuwa ya kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom