Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.
hahahaaaaaa nimeipenda sana hii, kweli imekaa vizuri sana ila nahisi kama vile kuna wengine tumeawaacha kama vile UDOM na wengine
MKUU NAOMBA NIKUSAIDIE MPANGILIO

Magamba CCM - A
CUF CCM - B
NEC CCM - C
UWT CCM - D
BAKWATA CCM - E
CLOUDS CCM - F
POLISI CCM - G
HABARI LEO/TBC CCM - H
 
Mbaya zaidi mtu anayejiita Zitto anasema chadema ilipata matokeo mabaya zaidi Kata ya Igunga mjini, wakati si kweli
huyo siyo Zitto ni wanamagamba wanatumia jina lake kwa manufaa yao
 
CCM wangekuwa wameshinda sidhani kama wangechelewa kutangaza..nachokiona ni wanajaribu kujitangazia ushindi ili sehemu kubwa ya raia wakikubali muda ukifika wanasema tumeshinda..hata mimi naamini Zitto feki ni njia yao mojawapo wanayoitumia
 
yule sio zitto
Mimi nilijua tu huyu si Zitto hata kwenye wall page yake walimwingilia kama walivyofanya kwa Nape, Zitto ninayemjua huwa hana tabia ya kujibu kila next post sasa huyu kajidai kujibu the next post.
 
CCM wangekuwa wameshinda sidhani kama wangechelewa kutangaza..nachokiona ni wanajaribu kujitangazia ushindi ili sehemu kubwa ya raia wakikubali muda ukifika wanasema tumeshinda..hata mimi naamini Zitto feki ni njia yao mojawapo wanayoitumia
Ukweli ccm watakuwa wameshindwa ila wanachofanya hapa ni kusubiri ifike usiku then Msimamizi atangaze kwa matakwa ya JK then alale mbele
 
Ukweli ni kwamba kura zimemalizika kuhesabiwa cdm inaongoza kwa kura zaid ya 3000 na kafum kagoma kusain et anamwiga masha ngoja tuone,
 
Tupambane pamoja hata damu ikimwagika huo ni ukombozi.vita vya majimaji wajerumani walipata funzo.tuunganishe nguvu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom