Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.
Mpwa twende taratibu, huyu Zitto ila kuna magamba fulani wametengeneza ID kama yake, Zitto hawezi kukurupuka kama Nape asubuhi asubuhi, tulia kwanza usimhukumu mtu, sawa Mpwa
Nilishawahi kupata habari zilizokuwa zikiashiria kuwa pamoja na kuwa miongoni mwetu lakini wewe si mpinzani wa kweli..sitasema sababu hizo kwa sasa..kinachonishangaza ni wewe kufanya kazi kama aliyokuwa anafanya NAPE ya kugeuka tume ya uchaguzi na kutangaza matokeo..Nalazimika kushindwa kuendelea kukuamini kabisa,Je umeaarifiwa na kamati ya chama kulitangaza hili? Matokeo yameshatangazwa kwenu viongozi wote wa chadema?na Je kama ni wewe tu ndio umeamua kusema kile ulichokipata kwa mawakala hauoni kama unasaliti chama kwa kutokuwa na subira na kusubiri pale mtakapotoa tamko rasmi?na mbona ni wewe tu ndiyo unayeongea haya?
 
Watu wameshatoka kwenye udanganyika, na wanachagua mabadiliko... TATIZO ni hao walioshkilia kalamu nyekundu ndo wanaendelea kuwafanya watanzania waonekane wamelala. Je, harakati zihamie kuwafanya washka kalamu nao wakubali mabadiliko kwa vitendo - km ilivofanikiwa kwa wapiga kura?
 
Nilishawahi kupata habari zilizokuwa zikiashiria kuwa pamoja na kuwa miongoni mwetu lakini wewe si mpinzani wa kweli..sitasema sababu hizo kwa sasa..kinachonishangaza ni wewe kufanya kazi kama aliyokuwa anafanya NAPE ya kugeuka tume ya uchaguzi na kutangaza matokeo..Nalazimika kushindwa kuendelea kukuamini kabisa,Je umeaarifiwa na kamati ya chama kulitangaza hili? Matokeo yameshatangazwa kwenu viongozi wote wa chadema?na Je kama ni wewe tu ndio umeamua kusema kile ulichokipata kwa mawakala hauoni kama unasaliti chama kwa kutokuwa na subira na kusubiri pale mtakapotoa tamko rasmi?na mbona ni wewe tu ndiyo unayeongea haya?
Vita vya Panzi hivi..
Kwamtindo huu CDM haifiki 2015
 
hahahhaaa kumbe eeeh basi ikae hivi
Magamba= CCM-A
CUF= CCM-B
BAKWATA-Igunga = CCM-C
Clouds Fm = CCM-D
NEC- CCM-E
Kuna kile chama kile cha nani vile kilichoiunga mkono CCM last minute kwenye kampeni za last year....na mengine yanaendelea
Basi kama ni hivi itakuwa CCM-B waligawa kura kwa CCM-A ili wabaki jimboni...! Nashauri kila sanduku lipitiwe tena na kila wakala, ili kuzihamisha kura za CCM-B zilizoko kwenye sanduku la CCM-A na kurudisha panapostahili....!
 
Hivi kwanini CDM ni wagumu sana kuelewa?
Mnataka kugoma?
Makamu mwenyekiti wenu tayari kasha clarify issue yote!
Lakini kuna mijitu bado haiamini.
Sasa wewe badala ya kutupa pole unatuzomea?
 
Wewe siyo Zitto huwezi kunihadaa kirahisi namna hiyo...nikupongeze tu kwa kufaulu kuingia kwenye account isiyo yako kwa lengo la kupotosha,. kwangu imeshindikana
Hata mimi hajani convince kuwa ni yeye, TISS wako kazini wanajaribu kuwin mawazo ya watu kwa kila njia ikiwemo ya kuingia kwenye akaunti za watu.
 
Mkuu unajua hawa madouble agents ni wanafiki sana na wanafanya dhambi kubwa. Hebu jaribu kufikiria watu wanavyo strugle kujaribu kuleta haki katika nchi hii halafu wao wanahangaika kuichelewesha hiyo haki kwa kuwatetea hawa wezi na mafisadi wasio na huruma hata chembe, nasema wanastahili kifo tu.

Nakumbuka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995, tulikesha kwenye kituo cha kupigia kura pale Kimara Korogwe,
hadi kina Lamway Masumbuko wakashinda. Kumbe ni madouble agents tu. Jamani Upinzani kuweni macho sana
CCM wameingiza watu wao wengi sana Upinzani ili kuudhoofisha.Kuweni makini.
 
hahahhaaa kumbe eeeh basi ikae hivi
Magamba= CCM-A
CUF= CCM-B
BAKWATA-Igunga = CCM-C
Clouds Fm = CCM-D
NEC- CCM-E
Kuna kile chama kile cha nani vile kilichoiunga mkono CCM last minute kwenye kampeni za last year....na mengine yanaendelea

MKUU NAOMBA NIKUSAIDIE MPANGILIO

Magamba CCM - A
CUF CCM - B
NEC CCM - C
UWT CCM - D
BAKWATA CCM - E
CLOUDS CCM - F
POLISI CCM - G
HABARI LEO/TBC CCM - H
 
Kwa nyuso zao zinavyoonyesha, Hali haikuwa shwari(shocking results), kutokana na matokeo waliokuwa wakipokea.

ig4.jpg

Juu na chini Wataalam wa CCM wakijumlisha matokeo usiku wa kuamkia leo, huko Igunga kutoka kwa mawakala wa wao katika vituo mbalimbali vya uchaguzi -Igunga.(Picha kwa hisani ya MICHUZI)

ig5.jpg
 
Hata mimi hajani convince kuwa ni yeye, TISS wako kazini wanajaribu kuwin mawazo ya watu kwa kila njia ikiwemo ya kuingia kwenye akaunti za watu.

Mbaya zaidi mtu anayejiita Zitto anasema chadema ilipata matokeo mabaya zaidi Kata ya Igunga mjini, wakati si kweli
 
hapa chanel ten wanaonyesha igunga kuna vurugu kweli....watu wamechachamaaa wanataka matokeo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom