Cuf wao wamesha tangazwa kushindwa vibaya.
Ndugu zangu, tuwe wakweli tu, tumepoteza Igunga. Tumepoteza kwa sababu moja kubwa- shahada za wapiga zimenunuliwa sana. Kata zote ambazo chadema imeshunda, turn out ilikuwa kubwa. Kata zote ambazo ccm imeshinda turn out ni ndogo sana sana. Hii tabia ya kununua shahada inayofanywa na ccm inaharibu kabisa maana ya uchaguzi. Kuna haja kufikiria kama itabidi tuwe na compulsory voting.
Toka jana usiku saa tano sisi tulishahitimisha kuwa kwa figures za matokeo toka vituoni hatuwezi kutangazwa washindi.
Ni muhimu kwenda mahakamani ili mahakama iweze kuamua masuala fulani fulani kwa mfano Mawaziri kushiriki katika kampeni na kutoa ahadi za kiserikali. Pili, tume kukataza watu ambao majina yao yamo kwenye daftari lakini hawana shahada, kupiga kura.
Suala la Kafumu kukataa kusaini, nadhani tuache masuala haya ambayo ndani ya dakika chache yatagundulika ni uwongo. Toka tunahesabu mpaka tunamaliza hatukuona 'margin' kubwa. Kata ya Igunga mjini ndio imechangia sana matokeo mabaya.
Bitter but truth

Ni kweli, wewe ni great thinker
chama cha magamba acu
Zitto Kabwe naye amekiri kushindwa!

wametangazwa na nani?
Asante kwa kutuondolea utata....wajameni sasa tugange mengine!Ndugu zangu, tuwe wakweli tu, tumepoteza Igunga. Tumepoteza kwa sababu moja kubwa- shahada za wapiga zimenunuliwa sana. Kata zote ambazo chadema imeshunda, turn out ilikuwa kubwa. Kata zote ambazo ccm imeshinda turn out ni ndogo sana sana. Hii tabia ya kununua shahada inayofanywa na ccm inaharibu kabisa maana ya uchaguzi. Kuna haja kufikiria kama itabidi tuwe na compulsory voting.
Toka jana usiku saa tano sisi tulishahitimisha kuwa kwa figures za matokeo toka vituoni hatuwezi kutangazwa washindi.
Ni muhimu kwenda mahakamani ili mahakama iweze kuamua masuala fulani fulani kwa mfano Mawaziri kushiriki katika kampeni na kutoa ahadi za kiserikali. Pili, tume kukataza watu ambao majina yao yamo kwenye daftari lakini hawana shahada, kupiga kura.
Suala la Kafumu kukataa kusaini, nadhani tuache masuala haya ambayo ndani ya dakika chache yatagundulika ni uwongo. Toka tunahesabu mpaka tunamaliza hatukuona 'margin' kubwa. Kata ya Igunga mjini ndio imechangia sana matokeo mabaya.
Bitter but truth
Upo sahihi kabisa. Suala la shahada ni lazima lionekane katika kesi. Hili ni tatizo kubwa sana. Baada ya muda mkt wa chama Taifa atatoa statement ya chama na mambo haya yatawekwa waziMkuu, kama issue ni kununuliwa kwa shahada, kwa nini kwenda mahakamani kwa issues nyingine? Kwa maelezo yako, hatukushindwa (kama kweli) kwa mawaziri kutoa ahadi za serikali, ni kwasababu ya wizi wa shahada kwa kuzinunua.
Mods kwanini watu mnawaacha wafnye kama wanavyotaka? mnakuwa kama sio great thinker bwana