Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.
Ooooh asante kwa kunifumbua macho kumbe Magamba ndio CCM-A then inafuatia CUF ndio CCM-B halafu wanafuatia hao ndio CCM-C, oooh wanaweza wakaanzisha nyingine zikafikia hadi CCM-Z
hamna jipya nyinyi ccm c.
 
Lazima mgombea mmoja kutoka vyama vinane vilivyo shiriki uchaguzi huu atashinda, wala usiwe na papara, subiri tu mpaka mambo yatakapotengemaa bila kuacha mashaka.
 
Chadema inasemekana imeshinda kwa kura zaidi ya 3000 na CCM kuangukia pua na ndiyo maana hadi sasa NEC haijatoa matokeo rasmi. Dr Kafumu haamini macho yake na amekataa kusign.
Hile ahadi ya kutoa matokeo mara tu baada ya uchaguzi imeishia wapi mbona yapata siku ya pili na matokeo ni bado?! ni alama dhairi kuwa magamba wanataka kuchakachua, hivyo hizi sio lumous ni kweli cdm imeshinda igunga.
 
Mpwa taratibu bhana hatujafikia huko bado, tafadhali sana Mpwa, tuwashinde kwa hoja na kwa kura watakubali tu, muda una maamuzi yake na muda ukifika HAKIKA hakuna awezaye kuurejesha wakati nyuma tena, kwa namna ilivyo ni kwamba kama ni mgonjwa basi ameshaanza kuonyesha kila dalili ya kwenda ku-R.I.P, halahala Mpwa tusiwaze huko kwanza japo inauma sana, hadi leo hata salary hazijatoka..
Unapo kutana na maneno na watu kama hawa ndio unapata jawabu kwanini yule kamanda mkuu wa wapiganaji wa NTC kule bengazi libya aliuwawa kwa namna na jinsi ile. Walimua wakajaribu kuchoma maiti yake ili asipate hata heshima ya kuzikwa.
 
Mkuu huwezi ukawa na compulsory voting ya kuforce watu kuchagua mtu (unless kwenye ballot kuna non of the above..); cha kufanya ni kuhamashisha watu ku-vote na kujitokeza suala la kununua au kuuza shahada ni kupata visibitisho na kushika wahusika na kuwapeleka mahakamani

Ila cha muhimu sana ni wapinzani kujipanga wote na kushindana na CCM (sio kutengena) na kama turn out ndogo ndio CCM wameshinda na turnout kubwa Chadema wameshinda na Chadema mnajua tatizo ni nini basi cha kufanya ni kushughulikia tatizo unless otherwise 2015 tutakuwa tunaongelea same story
wapinzani wangejipanga vipi kuishinda CCM according to you? tupe hints.
 
mi nasubiri tume. kuna madai kwamba Nape anasema ile post ya asubuhi haikuipost yeye, inawezekana hata hizi za Zitto sio yeye...hiiiii!!! uchakachuaji hadi mitandaoni mwe!!!

ila CDM haijashindwa la! imewapa hinya hinya magamba na kuwapa take home message kwamba enzi za danganya toto zimefikia tamati
 
JF imepoteza maana baada ya mamluki wa magamba kuivamia.
 
Mi hiz habar sasa zanipa kizunguzungu! Kwani hiyo tume ya uchaguz wanatumia watoto wa chekechea kuhesabu?
 
Hivi kwanini CDM ni wagumu sana kuelewa?
Mnataka kugoma?
Makamu mwenyekiti wenu tayari kasha clarify issue yote!
Lakini kuna mijitu bado haiamini.
 
Hapana mkuu usifike huko.
Hata kama mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni NEC, hii haiwezi kuwa sababu ya kumtoa mtu roho.
Mimi ninachojiuliza mpaka sasa, ni kitu gani kimechelewesha matokeo kutangazwA??

Mkuu unajua hawa madouble agents ni wanafiki sana na wanafanya dhambi kubwa. Hebu jaribu kufikiria watu wanavyo strugle kujaribu kuleta haki katika nchi hii halafu wao wanahangaika kuichelewesha hiyo haki kwa kuwatetea hawa wezi na mafisadi wasio na huruma hata chembe, nasema wanastahili kifo tu.
 
Hata kama katoa clarification hiyo tume iko wapi toka jana? Wanatumia vijiti kuhesabu?
 
Mkuu huwezi ukawa na compulsory voting ya kuforce watu kuchagua mtu (unless kwenye ballot kuna non of the above..); cha kufanya ni kuhamashisha watu ku-vote na kujitokeza suala la kununua au kuuza shahada ni kupata visibitisho na kushika wahusika na kuwapeleka mahakamani

Ila cha muhimu sana ni wapinzani kujipanga wote na kushindana na CCM (sio kutengena) na kama turn out ndogo ndio CCM wameshinda na turnout kubwa Chadema wameshinda na Chadema mnajua tatizo ni nini basi cha kufanya ni kushughulikia tatizo unless otherwise 2015 tutakuwa tunaongelea same story

Australia kuvote ni cmpulsory na usipovote fine $150.00, usipolipa mahakamani, just that simple!
 
Ndugu zangu, tuwe wakweli tu, tumepoteza Igunga.

Tumepoteza kwa sababu moja kubwa- shahada za wapiga zimenunuliwa sana. Kata zote ambazo chadema imeshunda, turn out ilikuwa kubwa. Kata zote ambazo ccm imeshinda turn out ni ndogo sana sana. Hii tabia ya kununua shahada inayofanywa na ccm inaharibu kabisa maana ya uchaguzi. Kuna haja kufikiria kama itabidi tuwe na compulsory voting.

Toka jana usiku saa tano sisi tulishahitimisha kuwa kwa figures za matokeo toka vituoni hatuwezi kutangazwa washindi.
Ni muhimu kwenda mahakamani ili mahakama iweze kuamua masuala fulani fulani kwa mfano Mawaziri kushiriki katika kampeni na kutoa ahadi za kiserikali. Pili, tume kukataza watu ambao majina yao yamo kwenye daftari lakini hawana shahada, kupiga kura.

Suala la Kafumu kukataa kusaini, nadhani tuache masuala haya ambayo ndani ya dakika chache yatagundulika ni uwongo. Toka tunahesabu mpaka tunamaliza hatukuona 'margin' kubwa.

Kata ya Igunga mjini ndio imechangia sana matokeo mabaya

Bitter but truth

Wewe siyo Zitto huwezi kunihadaa kirahisi namna hiyo...nikupongeze tu kwa kufaulu kuingia kwenye account isiyo yako kwa lengo la kupotosha,. kwangu imeshindikana
 
Ooooh asante kwa kunifumbua macho kumbe Magamba ndio CCM-A then inafuatia CUF ndio CCM-B halafu wanafuatia hao ndio CCM-C, oooh wanaweza wakaanzisha nyingine zikafikia hadi CCM-Z

clouds ni ccm -d
 
Mi nina presha kwanini tusiwe na subira

Pole mkuu, yote yanasabishwa na Tume na mawakala wao. Ili tusiingie kwenye matatizo yasiyo ya lazima inabidi hilo liTume liwe overhauled na kutengenezwa upya lenye kukubaliwa na Wadau wote.
 
Kama ni zitto kweli, nenda online kwa facebook na twitter, page zako twazijua, hapa hata mimi naona unatupiga chenga ya macho
 
Nilishawahi kupata habari zilizokuwa zikiashiria kuwa pamoja na kuwa miongoni mwetu lakini wewe si mpinzani wa kweli..sitasema sababu hizo kwa sasa..kinachonishangaza ni wewe kufanya kazi kama aliyokuwa anafanya NAPE ya kugeuka tume ya uchaguzi na kutangaza matokeo..Nalazimika kushindwa kuendelea kukuamini kabisa,Je umeaarifiwa na kamati ya chama kulitangaza hili? Matokeo yameshatangazwa kwenu viongozi wote wa chadema?na Je kama ni wewe tu ndio umeamua kusema kile ulichokipata kwa mawakala hauoni kama unasaliti chama kwa kutokuwa na subira na kusubiri pale mtakapotoa tamko rasmi?na mbona ni wewe tu ndiyo unayeongea haya?

Ndugu zangu, tuwe wakweli tu, tumepoteza Igunga.

Tumepoteza kwa sababu moja kubwa- shahada za wapiga zimenunuliwa sana. Kata zote ambazo chadema imeshunda, turn out ilikuwa kubwa. Kata zote ambazo ccm imeshinda turn out ni ndogo sana sana. Hii tabia ya kununua shahada inayofanywa na ccm inaharibu kabisa maana ya uchaguzi. Kuna haja kufikiria kama itabidi tuwe na compulsory voting.

Toka jana usiku saa tano sisi tulishahitimisha kuwa kwa figures za matokeo toka vituoni hatuwezi kutangazwa washindi.
Ni muhimu kwenda mahakamani ili mahakama iweze kuamua masuala fulani fulani kwa mfano Mawaziri kushiriki katika kampeni na kutoa ahadi za kiserikali. Pili, tume kukataza watu ambao majina yao yamo kwenye daftari lakini hawana shahada, kupiga kura.

Suala la Kafumu kukataa kusaini, nadhani tuache masuala haya ambayo ndani ya dakika chache yatagundulika ni uwongo. Toka tunahesabu mpaka tunamaliza hatukuona 'margin' kubwa.

Kata ya Igunga mjini ndio imechangia sana matokeo mabaya.

Bitter but truth
 
hahahhaaa kumbe eeeh basi ikae hivi
Magamba= CCM-A
CUF= CCM-B
BAKWATA-Igunga = CCM-C
Clouds Fm = CCM-D
NEC- CCM-E
Kuna kile chama kile cha nani vile kilichoiunga mkono CCM last minute kwenye kampeni za last year....na mengine yanaendelea
clouds ni ccm -d
 
Wewe siyo Zitto huwezi kunihadaa kirahisi namna hiyo...nikupongeze tu kwa kufaulu kuingia kwenye account isiyo yako kwa lengo la kupotosha,. kwangu imeshindikana

hili nalo neno..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom