Hassan Enzi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 207
- 53
Yani huu ni uboya bin uboya nacte walicoment wenyewe kuwa wanarelease selection leo na masomo yanaanza trh 25 na kinachonishangaza mpk sasa hamna dalili najiuliza je system imedukuliwa au uzembe wa hawa watu wasiojulikana. Au wanafkir tnakunya ela wengne hapa watoto wa maskini. Inabd mtoe taarifa mapema tualike ukoo ujichange ili tuwaandae siku flani sas mnapotucheleweshea mnatunyima nafasi ya kuwahi chuoni. Nacte nyie mtalaaniwa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
usikasirike kwani siku imeishaaaaaa???????a!!!!
给你天下事