Cardiologist
New Member
- Aug 29, 2014
- 3
- 3
Wanafanya kazi kwa mazoea makubwa sanaHahahahaaha hao ndio nacte......Nakumbuka walituambia 12 agust wangetoa vyeti ila naona mpka sasa kimya tuuu ila haya ndio maisha
Serikali wafukuzeni kazi wafanyakazi wa nacte wanafanya kazi kwa mazoea kabisa taasisi hii imekuwa ikilalamikiwa kila mara leo mlisema mnatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo lakini mjatoa na mmekuwa na mda mrefu sana wa kujiandaa kufanya selection lakini mpaka sasa hakuna cha maana mnachofanya na wiki ijayo mhula wa masomo utaanza je ? mnatusaidia kutulipia hali ya uchumi mbaya sasa hivi mngetoa majina mapema watu waandae pesa acheni uvivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa nishidaaHahahah uwiiiiii nacte eeeh fanyen maamuz ya kibingwa now sa 10 lkn results not yet
Uliomba vyuo vya serikali tuYani na CBCD yangu nikitemwa bora niwe mjasiliamali
Unaweza kubebwa.Serikali tu hata sijui itakuwaje
Yani huu ni uboya bin uboya nacte walicoment wenyewe kuwa wanarelease selection leo na masomo yanaanza trh 25 na kinachonishangaza mpk sasa hamna dalili najiuliza je system imedukuliwa au uzembe wa hawa watu wasiojulikana. Au wanafkir tnakunya ela wengne hapa watoto wa maskini. Inabd mtoe taarifa mapema tualike ukoo ujichange ili tuwaandae siku flani sas mnapotucheleweshea mnatunyima nafasi ya kuwahi chuoni. Nacte nyie mtalaaniwa bure
Sent using Jamii Forums mobile app