Itakuwaaa badoooNacte second selection vp jaman wadau
ikitoka round ya pili nacte tufahamishane!Itakuwaaa badooo
Vijana, wakati unaandika thread yako hakikisha inamaanisha unachotaka kuandika sawa, kumbuka kuna vijana wamefanya mitihani ya nacte sasa unaweza sababisha taaruki kidogo,Jamni kwa niaba ya wanafunzi wenzangu mbona matokeo hayatoki kama walivyo sema ama huku nilipo system sio nzuri?
Naomba kujua kama yametoka ama bado asante natangulia salamu kwenu Mungu akubariki wewe unaesaidia hili swali.
Sent using Jamii Forums mobile app