unajiandaa ada saa ngapi, kuwa long sighted pleaseMkuu si chuo utaenda haraka ya nini?
unajiandaa ada saa ngapi, kuwa long sighted pleaseMkuu si chuo utaenda haraka ya nini?
Hawa hua wasumbufu tu..halafu ukute hajakizi vigezo..Mkuu si chuo utaenda haraka ya nini?
Leo tarehe 15 nacte wameshindwa kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya diploma na cheti wakati waliahidi watatoa tarehe 14/09/2017 katibu mkuu nacte ni mpuuzi sana anatufanya watanzania hatuna akili wakati analipwa mshahara kwa kodi zetu nacte haifanyi kazi ni wababaishaji .
Mda wa kuripoti chuoni unakalibia nacte wamegoma kutoa majina gharama za vyuo ni kubwa zinahitaji maandalizi ya mda mrefu ukweli mnatuchanganya sana.
[HASHTAG]#wapigie[/HASHTAG]
Tar 25 sio kuripot bali ni masomo kuanzakiukweli hakuna jambo jema lina pangwa likaendana na ratiba katika awamu hii.. ila ya kipuuzi yanafanyika kwa muda mwafaka.. vyuo wanasema kulipoti ni tarehe 25.09. leo ni 15 bado siku 9 tuu. kwa ada zilivyo juu na maisha au pesa ilivyoadimika mtaani unahisi ni rahisi kufanya maadalizi kwa muda huo?
Kwa kauli kama hizi bado tuna safari ndefuLeo tarehe 15 nacte wameshindwa kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya diploma na cheti wakati waliahidi watatoa tarehe 14/09/2017 katibu mkuu nacte ni mpuuzi sana anatufanya watanzania hatuna akili wakati analipwa mshahara kwa kodi zetu nacte haifanyi kazi ni wababaishaji .
Mda wa kuripoti chuoni unakalibia nacte wamegoma kutoa majina gharama za vyuo ni kubwa zinahitaji maandalizi ya mda mrefu ukweli mnatuchanganya sana.
Unasumbuliwa na mchecheto, hakuna wa kukunyima chuo na by the way hadi umeomba ulikuwa umeshajiandaa kusoma mwaka huu. Ni uongo eti watu huwa wanasubiri majina ndio wajiandae. Kuwa na subira, teknolojia tuliletewa ndio imesumbua sasa.Leo tarehe 15 NACTE wameshindwa kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya diploma na cheti wakati waliahidi watatoa tarehe 14/09/2017 katibu mkuu NACTE anatufanya watanzania hatuna akili wakati analipwa mshahara kwa kodi zetu NACTE haifanyi kazi ni wababaishaji .
Muda wa kuripoti chuoni unakaribia NACTE wamegoma kutoa majina gharama za vyuo ni kubwa zinahitaji maandalizi ya muda mrefu ukweli mnatuchanganya sana.
nacte
VS
wasubir post

Siku haijaisha braza kuwa na subira kidogoLeo tarehe 15 NACTE wameshindwa kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya diploma na cheti wakati waliahidi watatoa tarehe 14/09/2017 katibu mkuu NACTE anatufanya watanzania hatuna akili wakati analipwa mshahara kwa kodi zetu NACTE haifanyi kazi ni wababaishaji .
Muda wa kuripoti chuoni unakaribia NACTE wamegoma kutoa majina gharama za vyuo ni kubwa zinahitaji maandalizi ya muda mrefu ukweli mnatuchanganya sana.
Ondoa hofu atarudiii tu huu ndo wenyeweHivi vyuo vya serikali ngazi ya diploma vinaafunguliwa lini vile?,kuna kijana nilimuombe naona harejei tu toka JKT
Mwisho WA mwez huuuu kuanzia tarehe 25Hivi vyuo vya serikali ngazi ya diploma vinaafunguliwa lini vile?,kuna kijana nilimuombe naona harejei tu toka JKT
Shukrani sana, Mungu atawajalia mtapata nafasi wapendwa msiwaze sana.Mwisho WA mwez huuuu kuanzia tarehe 25
Yaaaaan hawa nacte wanazinguaaaaaaa kweli jamaniiii mpakaaa Sasa hivShukrani sana, Mungu atawajalia mtapata nafasi wapendwa msiwaze sana.