mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Leo tarehe 15 NACTE wameshindwa kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya diploma na cheti wakati waliahidi watatoa tarehe 14/09/2017 katibu mkuu NACTE anatufanya watanzania hatuna akili wakati analipwa mshahara kwa kodi zetu NACTE haifanyi kazi ni wababaishaji .
Muda wa kuripoti chuoni unakaribia NACTE wamegoma kutoa majina gharama za vyuo ni kubwa zinahitaji maandalizi ya muda mrefu ukweli mnatuchanganya sana.
Muda wa kuripoti chuoni unakaribia NACTE wamegoma kutoa majina gharama za vyuo ni kubwa zinahitaji maandalizi ya muda mrefu ukweli mnatuchanganya sana.