Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

ukweli nacte ni wababaishaji sana mpaka sasa hivi hawajatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kusomea kozi za afya na ualimu na hukuna dalili yeyote ile ya kutoa majina leo huu ni upuuzi wa hali ya juu sana nacte mnafanya kazi kwa mazoea sana .

Mnachelewesha kutoa majina watu watajiandaa lini ? na karo plus michango mingine acheni unyama huo .

Sent using Jamii Forums mobile app

mbona mna hofu atacku bado haijaisha
leo ndio leo asemaye kesho mwongo

VANNY BOY..............
 
w
ukweli nacte ni wababaishaji sana mpaka sasa hivi hawajatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kusomea kozi za afya na ualimu na hukuna dalili yeyote ile ya kutoa majina leo huu ni upuuzi wa hali ya juu sana nacte mnafanya kazi kwa mazoea sana .

Mnachelewesha kutoa majina watu watajiandaa lini ? na karo plus michango mingine acheni unyama huo .

Sent using Jamii Forums mobile app
walisema tarehe 14, hawakusema asubuhi mchana wala jioni, cha msingi vuteni subira siku iishe ndio muanze kutoa mapovu, ni mapema sana saizi kuanza kulaum au kusifu... subiri siku iishe mkuu.
 
Back
Top Bottom