dottomasanja
Member
- Nov 26, 2014
- 64
- 15
Hivi vyuo vinaboaaaaWatu hadi tumekata tamaa, joining hazitoki wala dalili wakat wenzetu wa bunda tc walishatolewa joining
Hivi vyuo vinaboaaaaWatu hadi tumekata tamaa, joining hazitoki wala dalili wakat wenzetu wa bunda tc walishatolewa joining
Vyuo vingine hovyo kabisa alafu ukiwapigia hawaonyeshi ushirikianoJamani MBNA hawatoaaa joining instructions
Oy! Kibaha na muhimbili wanaripoti lini?Kibahaaa na muhimbili nasikiaaaa wamepataaa
Mkuu vyuo vya afya pekeyake ndo vimejaa, me mbona nimeomba dmi hapa nasubr confirmation na nafasi niliambiwa zipoNa ukiombaaaa upyaaaa utaomba chuo ganiiiiii maaana vyuo vyote vilivyobaki ving ni vya watu wanaojiendelezaaa na nafas ni chache Kwan umepataaa chuo gan
Afya uwez kupataaaaMkuu vyuo vya afya pekeyake ndo vimejaa, me mbona nimeomba dmi hapa nasubr confirmation na nafasi niliambiwa zipo
Me nimeomba second round apo dmi lakn tayar nishachaguliwa civil engineeringAfya uwez kupataaaa
Best ujapata za Bunda mm pia nmechaguliwa hapo tayar ninayo Sikh nyng sanaWatu hadi tumekata tamaa, joining hazitoki wala dalili wakat wenzetu wa bunda tc walishatolewa joining
Mimi nimechaguliwa dakawa tcBest ujapata za Bunda mm pia nmechaguliwa hapo tayar ninayo Sikh nyng sana
NdioNa nyie mlitumiwa sms ya uthibitisho kutoka chuoni?
Oky sawa sawaMimi nimechaguliwa dakawa tc
Yaani ni shida tuOky sawa sawa
Afya mda co mref itakuwa kama uhasibuAfyaaa imebanaaaa labdaaaaa hukooo
Duu!,wanawahi sana.....wengine tumetaarifiwa tuanze kuripoti tarehe 21/10Tarehe 01