dottomasanja
Member
- Nov 26, 2014
- 64
- 15
HaiwezekanAfya mda co mref itakuwa kama uhasibu
HaiwezekanAfya mda co mref itakuwa kama uhasibu
Duh mbona mbali hivyo?Duu!,wanawahi sana.....wengine tumetaarifiwa tuanze kuripoti tarehe 21/10
Kweli mkuu maana kila graduate wa sayansi anataka afya mzee so watakuwepo wengi mnoHaiwezekan
Lakin badoooo mahitaji ni makubwaaaaKweli mkuu maana kila graduate wa sayansi anataka afya mzee so watakuwepo wengi mno
Bado hujapata?Joining instruction bado
Chuo gani ichoDuu!,wanawahi sana.....wengine tumetaarifiwa tuanze kuripoti tarehe 21/10
Chuo gani icho
cotc mafinga-iringaChuo gani icho
Joining instructions ushapatacotc mafinga-iringa
Nimeambiwa joining instruction bado hazijatumwa na wizara any time zikitumwa watanitumiaJoining instructions ushapata
Bado sijapata still nowBado hujapata?
Mbn kama degree Hapojamani naomba kuuliza kwa ualimu diploma kwa matokeo haya form six 2014 physics_E
chemistry_D
biology_C
je naweza kupata nafasi ualimu wa sayansi diploma?
Ila kuripoti wamesema tar 21Nimeambiwa joining instruction bado hazijatumwa na wizara any time zikitumwa watanitumia
Nikipata no ya academic kesho nakupa...Bado sijapata still now
tafuta dictionary itakusaidiaEt wakuu kweny link zaku apply vyuo ileh capacity kule mwsho inamaanish nn??? Maana naona nyingin zinapanda2
Nitashukuru sana mkuuNikipata no ya academic kesho nakupa...
Pamoja mkuuNitashukuru sana mkuu