Matokeo ya NACTE yametoka?

OTE="king gold chain, post: 23536991, member: 443622"]Wakuu Sas kw sisi turio kwisha apply mwnz alaf tukatemwa vp era tutatumia hile hileh au tuandae mazingira mengine???[/QUOTE]
Saa hizi kila chuo 10000,ukiomba vitano 50000
 
Mkuu cbishan na mtu anaeenda kusoma diploma au certificate wenzie wajanja sahv wanaenda university wewe na ukilaza wako uko unagombana na nacte ultakiwa ugombane na udsm, udom,ifm etc cyo nacte kilaza wewe! Nenda ukaresit ndo uje uniite mm mjinga!
Sawa mkuu mi kikaza. Kumbka kilaza huyu huyu na ujinga wangu nawe kuja kukuajir ww na madegree yako sasa si ungenambia tuu nijue kuwa nimekukwaza. Kuwa udsm,udom muhimbl au ifm sio kuwin maisha. Maisha yapo kitaa sio huko chuo. Huko tunaenda kutafta vyeti kuondoa ujinga rafiki yangu. Poa tyu so mbaya.
 
Kazi kwelikweli, mdogo wangu vyuo vyote not eligble na vyuo vyenye nafasi ni vichache kwa kweli na nikitaka kuingia kufanya udahili upya ni system running, hata sijui nini cha kufanya.
 
Kazi kwelikweli, mdogo wangu vyuo vyote not eligble na vyuo vyenye nafasi ni vichache kwa kweli na nikitaka kuingia kufanya udahili upya ni system running, hata sijui nini cha kufanya.
Kazi ipo mi mwenyew ndo ivo
 
Sawa mkuu mi kikaza. Kumbka kilaza huyu huyu na ujinga wangu nawe kuja kukuajir ww na madegree yako sasa si ungenambia tuu nijue kuwa nimekukwaza. Kuwa udsm,udom muhimbl au ifm sio kuwin maisha. Maisha yapo kitaa sio huko chuo. Huko tunaenda kutafta vyeti kuondoa ujinga rafiki yangu. Poa tyu so mbaya.
we unaonekana bado mtoto kiakili tena bila shaka ulikuwa unalia wakati una type.
 
a863e0d928d38511cfca753428d4e99d.jpg
 
Vipi wakuu leo system running message naona imetoka ilah sas shida nikwamba vyuo vya private sivipati wakuu msaada!!!
Huwez kuvipata vyuo vya prvt nacte mkuu utakesha.. Nacte mwaka huu wanatoa tu kwa vyuo vy serikai ualim na afya kama unataka vya private nenda moja kw mja chuo husika mkuu
 
Back
Top Bottom