Matokeo ya NACTE yametoka?

Oy me kweny account yngu nacte hakuna ujumbe wowot ila kwenye selection nimechaguliwa wanasema subiri uthibitisho toka chuoni manake nin wazee
 
Oy me kweny account yngu nacte hakuna ujumbe wowot ila kwenye selection nimechaguliwa wanasema subiri uthibitisho toka chuoni manake nin wazee
hebu muwe mnauliza maswali ya msingi kama wasomi.
yani level kama yako kuuliza hivyo inatia mashaka hicho unachokwenda kukisoma kitaeleweka kweli.
Ushaambiwa subiri chuo kitawasiliana na wewe bado unauliza eti maana yake nini?
 
Joining instructions zote badoooo hazijatoka sio ualimu Wala afya labda ufatilie chuoni moja kwa moja
Bac nashauri vyuo vyote vivunje ile ratiba ya NACTE kwamba kuripot vyuoni na 25 sept, maana joining instructions until now hazjatoka na bado application it continue mpaka 1 Oct
 
Back
Top Bottom