Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

Wakuu! Naombeni kufaham kwa waliokosa vyuo, kuna nafasi tena ya kufanya second applications...!? Na je kama ipo itaanza lini..!?
 
Wakuu msaada kuhusu joining instructions mbona hawatutumii kwenye profile mpka saiz kimya tu kwa mwenye kufaham utaratibu anaendeleaje anijuze tafadhar
 
Wakuu! Naombeni kufaham kwa waliokosa vyuo, kuna nafasi tena ya kufanya second applications...!? Na je kama ipo itaanza lini..!?
yes wanafungua soon kwa second bite. jitahidi kuwa unakwenda nacte website, kila kitu kipo.
 
Wakuu hivi diploma ya health information in science inahusu nini zaid na ajira zake zipoje
 
Back
Top Bottom