Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

Acha ujinga ww kuna vitu vya kuvuta subira ila sio km hiki mana wengne huwa inatakiwa wajue mapema wapitishe mchango.
Mkuu cbishan na mtu anaeenda kusoma diploma au certificate wenzie wajanja sahv wanaenda university wewe na ukilaza wako uko unagombana na nacte ultakiwa ugombane na udsm, udom,ifm etc cyo nacte kilaza wewe! Nenda ukaresit ndo uje uniite mm mjinga!
 
Duuuuuuuuh jamaniiii
 
Kipimo sahihi cha mafanikio ni pesa nying au elimu kubwa......teh teh teh logic gets no action
 
Mkuu cbishan na mtu anaeenda kusoma diploma au certificate wenzie wajanja sahv wanaenda university wewe na ukilaza wako uko unagombana na nacte ultakiwa ugombane na udsm, udom,ifm etc cyo nacte kilaza wewe! Nenda ukaresit ndo uje uniite mm mjinga!
Kweli wewe ni mjinga maana umeshakariri kuwa kila anaesoma diploma au certificate alifeli, wengine tumefaulu vzr Zaid yako na tunaitaka hiyo diploma, unatamba ikiwa ulipata iii point 24
 
Jaman huko mlikofka siko,nacte,tcu,ukilaza,yote ni mipango ya mwenyez mungu mwenye uwezo wa kupanga na kupangua tusifikie sehem ya kuwaona wengne vilaza mbona wapo wengi wametoka TCU na tunasubri nacte kwa sasa hujawahi kujiuliza kwa nn? Tuwe wamoja maisha ni safari ndefu milima na mabonde yapo
 
Cc n WA 1
(mwixhowe watapambanisha arts na science)
 
Back
Top Bottom