Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

Msaadah wakuu hivi utawezaj kujua vyuo visivyo jaa maana unaweza ukatuma tena kwenye vyuo vilivy jaa!!!
 
Kulingana na Maelezo ya nacte vyuo vinafunguliwa tarehe 25 lakini hadi sasa hawaja tuma joining instruction
diploma mtaanza wiki ya mwisho ya mwezi wa kumi kwasababu majina yenu hata vyuoni hayajafika bado.Chuo ndiyo kitapitia majina ya waliochaguliwa na kuwasaliana na nyie kuweni na amani madogo.
 
Back
Top Bottom