Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Yah... Ni kushukuru Mungu kwa kweli maaana ushindani mwaka huu inaelekea ulikua mkubwa sana. Rafiki zangu nilioApply nao wote wamekosa.Ooi mkuu hapo tu nasubir tu Jina la chuo kwahiyo tayar tumechaguliwa hivyo
Daaa kwel man nami nimepata aiseeYah... Ni kushukuru Mungu kwa kweli maaana ushindani mwaka huu inaelekea ulikua mkubwa sana. Rafiki zangu nilioApply nao wote wamekosa.
Kwahyo na hapo bado unaweza kukosa chuo vilevile au?!Unasubir chuo kithibitishe (kipitishe) jina lako kama final concluder then ndo utakuwa tayar kwa kwenda chuo
Kwa sector ya kilimo vipi?Fuata link http://41.93.40.136:8080/noavs kisha ingiza username yako na password
Si kila aliyesoma au anayetalajia kujiunga dploma ni miongon mwa waliofeli mitihan,,,, waliopo DIT,, MUHIMBILI,, NAKWINGINEKO INAWEZEKANA MATOKEO YAO YA KIDATO CHA NNE HUWEZ LINGANISHA NA YAKWAKO,, YALIYOBUMBWA KWA GPA,,,,Mkuu cbishan na mtu anaeenda kusoma diploma au certificate wenzie wajanja sahv wanaenda university wewe na ukilaza wako uko unagombana na nacte ultakiwa ugombane na udsm, udom,ifm etc cyo nacte kilaza wewe! Nenda ukaresit ndo uje uniite mm mjinga!
Duh... Hayo tena majangaInategemeana ila sio rahis kukosa kwakuwa nacte wameshamaliza kaz yao
Wa kus au kas,,,, hueleweki kama Upinzan wa Tanzania,,, kilichokutuma uponde diploma ni kipi? Nafanya kaz na vjana wa dploma,,, Uwezo walionao ni mkubwa kuliko unavyodhania,,,, ukubwa wa kichwa sio maarifaWell said mkuu! But kila mtu ana haki ya kutoa mawazo bcoz this is a free zone na hakuna mwenye haki ya kumuita mtu mjinga au mpuuz.. And kusoma diploma au certificate au degree its everyone's destiny kila mtu atafanikiwa kwa njia yake hata aishie chekechea..haijalish umetumia njia gani kufanikiwa au una elim gan but cha msing ni mafanikio tu! Hzo nyngne n mbwembwe but mtu anapotoa mawazo yake yaheshimiwe kutokana na uelewa wake na syo kumtusi au kutamka vbaya.. And siku zoote anaye anza aonekan ila anayemalza ndo anaoneka mkuu! Its jf anyway kila mtu yuko free kuzungumza anachotaka!
Zishatoka mkuuMay be j3
Duuh.. pole yao aiseeHselection tayari zimetoka, madogo wawili niliowaombea wote wamekosa. Wanadai sababu ni competition in sewlected programs, so sad indeed.
Kweli kaka?Tayari yaneshatoka tembelea kwenye profile yako
YaaapKweli kaka?