Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

Yaa ila mimi nataka kujua upande wa kilimo ambao hadi sasa hawajaweka cuz wahusika waliombea direct vyuoni
Mimi niliomba kilimo pia.. sasa nimesikia wizara ndo itatangaza matokeo.. Naomba wakitoa unashtue mkuu... maana hali mbaya hata sijui lolote hapa aisee
 
Wakuu naomben msaada kwa hili,,,kuna pale kwenye kuomba wanaandika kwamb mfano jumaa kaomba certificate/diploma sasa hapo naenda soma dip àu certfcate msaada wakuu
Unaweza ukawa umechaguliwa diploma au certf inategemeana na compet ilivyokuwa but mim nilomba diploma kozi zote
 
Naombeni msaada kwa vyuo vizur private ambacho naweza soma clinical assistant, kwa mikoa ya moshi, arusha,tanga na morogoro
 
Hongera umechaguliwa
1a84facc1558b6e9f22f35bb772e36e6.jpg
Hongera
 
Back
Top Bottom