Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

Unasubir chuo kithibitishe (kipitishe) jina lako kama final concluder then ndo utakuwa tayar kwa kwenda chuo
 
Mkuu cbishan na mtu anaeenda kusoma diploma au certificate wenzie wajanja sahv wanaenda university wewe na ukilaza wako uko unagombana na nacte ultakiwa ugombane na udsm, udom,ifm etc cyo nacte kilaza wewe! Nenda ukaresit ndo uje uniite mm mjinga!
Si kila aliyesoma au anayetalajia kujiunga dploma ni miongon mwa waliofeli mitihan,,,, waliopo DIT,, MUHIMBILI,, NAKWINGINEKO INAWEZEKANA MATOKEO YAO YA KIDATO CHA NNE HUWEZ LINGANISHA NA YAKWAKO,, YALIYOBUMBWA KWA GPA,,,,
 
Mwaka huu udahili wa vyuo vya serikali umefanywa na wizara ya afya pamoja na nacte
 
Well said mkuu! But kila mtu ana haki ya kutoa mawazo bcoz this is a free zone na hakuna mwenye haki ya kumuita mtu mjinga au mpuuz.. And kusoma diploma au certificate au degree its everyone's destiny kila mtu atafanikiwa kwa njia yake hata aishie chekechea..haijalish umetumia njia gani kufanikiwa au una elim gan but cha msing ni mafanikio tu! Hzo nyngne n mbwembwe but mtu anapotoa mawazo yake yaheshimiwe kutokana na uelewa wake na syo kumtusi au kutamka vbaya.. And siku zoote anaye anza aonekan ila anayemalza ndo anaoneka mkuu! Its jf anyway kila mtu yuko free kuzungumza anachotaka!
Wa kus au kas,,,, hueleweki kama Upinzan wa Tanzania,,, kilichokutuma uponde diploma ni kipi? Nafanya kaz na vjana wa dploma,,, Uwezo walionao ni mkubwa kuliko unavyodhania,,,, ukubwa wa kichwa sio maarifa
 
Back
Top Bottom