Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

Apa tusubirie tu mwez wa kumi tarehe mbili ndo dalili zinazoonekana ila so poa kabisa wanavotufanyia
 
Jaman huko mlikofka siko,nacte,tcu,ukilaza,yote ni mipango ya mwenyez mungu mwenye uwezo wa kupanga na kupangua tusifikie sehem ya kuwaona wengne vilaza mbona wapo wengi wametoka TCU na tunasubri nacte kwa sasa hujawahi kujiuliza kwa nn? Tuwe wamoja maisha ni safari ndefu milima na mabonde yapo
FACT
 
Mkuu cbishan na mtu anaeenda kusoma diploma au certificate wenzie wajanja sahv wanaenda university wewe na ukilaza wako uko unagombana na nacte ultakiwa ugombane na udsm, udom,ifm etc cyo nacte kilaza wewe! Nenda ukaresit ndo uje uniite mm mjinga!
Kwa muonekano unaonekana kama we ndo kilaza,uko university unasoma shahada ya nini? maana hata kuandika haujui au ndo shahada ya ufugaji nyuki?
 
Huhuhu! Kaen mdanganyane afu sibishan na watoto wa juzi ambao mnagombea boom na rb cafteria.. Nabshana na watu wazma hata ingekua asali cyo nyuki tu hata mabawa yake but at least i know what I'm doing! Kilaza m1 wew
 
Kweli wewe ni mjinga maana umeshakariri kuwa kila anaesoma diploma au certificate alifeli, wengine tumefaulu vzr Zaid yako na tunaitaka hiyo diploma, unatamba ikiwa ulipata iii point 24
Hata kama 3 ya 25 lakini cvai sare!..mmefaulu vzur c ungekua Tanzania one wee kaa kmya na elimu yako ya kuunga na super glue ule ugali wa bure wa kupimiwa!
 
Jaman huko mlikofka siko,nacte,tcu,ukilaza,yote ni mipango ya mwenyez mungu mwenye uwezo wa kupanga na kupangua tusifikie sehem ya kuwaona wengne vilaza mbona wapo wengi wametoka TCU na tunasubri nacte kwa sasa hujawahi kujiuliza kwa nn? Tuwe wamoja maisha ni safari ndefu milima na mabonde yapo
Umenena vyema mkuu the only thing i said ni watu wawe na uvumilivu! Then mtu anaamka anakuita mjinga hyo ndo shida ya kubshana na teenagers!
 
Majira yamebadilika ndugu Ncherry1, hiki ni kizazi cha duma kiko speed tofauti na vizazi vingine ambavyo nawe ulikuwepo ndani yake.Haina maana mtu kukwambia nitakuja saa mbili asubuhi halafu asitokee bila taarifa yoyote nawe ukajisemea mwenyewe "atakuja tu"..kwa mantiki hiyo,vijana wetu kuambiwa majina yatatangazwa tarehe 14/09 halafu mpaka muda huo haijawa hivyo ni haki yao ya msingi kusema ya moyoni na sio kujipa moyo kwamba yatakuja tuu.Kitendo chako cha kujikweza na kusema kwamba wanaosoma diplomasia si kitu umekosea pakubwa.Malengo ya mtu na maamuzi yake yaheshimu.Be humble,Thank you.
 
Niceeeeeeeeee
 
Huhuhu! Kaen mdanganyane afu sibishan na watoto wa juzi ambao mnagombea boom na rb cafteria.. Nabshana na watu wazma hata ingekua asali cyo nyuki tu hata mabawa yake but at least i know what I'm doing! Kilaza m1 wew
Jina lako,uandishi wako,mawazo yako vyote vinaonyesha wewe bado ni mtoto.
 
Wakuu turuduni kwenye mada lep 16 hawa nacte wanetuona wajinga au wanamaanisha nini yani wanatufanyia upuuzi wakti huduma tuliilipia kabsa ok tuendelee kupeana updates ukiona chochote tutonye
 
Habari zenu NACTE, poleni na majukumu sana wapendwa NACTE, kwa heshima nawaomba mutoe izo selection na kama bado ningependa mutoe taarifa pengine labda munasababu nzuri tu kuchelewa.

Nitangulize shukran na ninawahasa vijana wenzangu wasiwe na lugha chafu zidi ya nacte na wawe na moyo wa subira. subira yavuta kheri. kidumu chama tawala.
 
Majira yamebadilika ndugu Ncherry1, hiki ni kizazi cha duma kiko speed tofauti na vizazi vingine ambavyo nawe ulikuwepo ndani yake.Haina maana mtu kukwambia nitakuja saa mbili asubuhi halafu asitokee bila taarifa yoyote nawe ukajisemea mwenyewe "atakuja tu"..kwa mantiki hiyo,vijana wetu kuambiwa majina yatatangazwa tarehe 14/09 halafu mpaka muda huo haijawa hivyo ni haki yao ya msingi kusema ya moyoni na sio kujipa moyo kwamba yatakuja tuu.Kitendo chako cha kujikweza na kusema kwamba wanaosoma diplomasia si kitu umekosea pakubwa.Malengo ya mtu na maamuzi yake yaheshimu.Be humble,Thank you.
Well said mkuu! But kila mtu ana haki ya kutoa mawazo bcoz this is a free zone na hakuna mwenye haki ya kumuita mtu mjinga au mpuuz.. And kusoma diploma au certificate au degree its everyone's destiny kila mtu atafanikiwa kwa njia yake hata aishie chekechea..haijalish umetumia njia gani kufanikiwa au una elim gan but cha msing ni mafanikio tu! Hzo nyngne n mbwembwe but mtu anapotoa mawazo yake yaheshimiwe kutokana na uelewa wake na syo kumtusi au kutamka vbaya.. And siku zoote anaye anza aonekan ila anayemalza ndo anaoneka mkuu! Its jf anyway kila mtu yuko free kuzungumza anachotaka!
 
Umeeleweka mkuu.
 
Back
Top Bottom