Matokeo ya NACTE yametoka?

  1. Muwe mnaongea point bna siyo kukosoana, wanakosoa wenzao badala yakushauli ndo vilaza visivyojitambua
 
Jaman kwa niaba ya wenzangu wote ambao tunawasubiri NACTE wafanye yao tuendelee kua na subra na kupeana updates kwa lolote litakalotokea....
 
selection tayari zimetoka, madogo wawili niliowaombea wote wamekosa. Wanadai sababu ni competition in sewlected programs, so sad indeed.
 
SELECTIONS.jpg
 
Back
Top Bottom