Matokeo ya NACTE yametoka?

Matokeo ya NACTE yametoka?

Hivi wakuu kama tayar umeshachaguliwa sasa chuo watatoa lini maana hatujui kabxaa kama ni chuo gan nimechaguliwa na kozi ggan na ni certificate au diploma mwenye kuelewa huo atujuze jmn
 
Hivi wakuu kama tayar umeshachaguliwa sasa chuo watatoa lini maana hatujui kabxaa kama ni chuo gan nimechaguliwa na kozi ggan na ni certificate au diploma mwenye kuelewa huo atujuze jmn
naomba link uliyofungulia
 
Wakuu naomben msaada kwa hili,,,kuna pale kwenye kuomba wanaandika kwamb mfano jumaa kaomba certificate/diploma sasa hapo naenda soma dip àu certfcate msaada wakuu
 
Samahani wanajukwaaa naomba mnisaidie kuangalia kahama nimechagiliwa au laa maana najaribu kulogin inazingua tangia Jana
Username:S1646/0017/2011,password:AU9gds4k
Natanguliza shukurani
 
Samahani wanajukwaaa naomba mnisaidie kuangalia kahama nimechagiliwa au laa maana najaribu kulogin inazingua tangia Jana
Username:S1646/0017/2011,password:AU9gds4k
Natanguliza shukurani
Hongera umechaguliwa
1a84facc1558b6e9f22f35bb772e36e6.jpg
 
naomben mnisaidie kuangalia mm kila nikijaribu nashindwa username S0428/0092/2014 password uHtB8Y7c mbarikiwe sana
 
Back
Top Bottom