Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

Sasa nimeelewa kuwa mliiba mapema.
 
tunawapa hongera kama haki imetendeka,pia hatuna budi kuwashukuru wana igunga kwa uamuzi wao bila kujali wamechagua masihara dhidi ya umakini.la muhimu sana msisahau hatukuwa na mgombea pale ila sasa tumepata k zenu zina hesabikaure elfu 22 tuempunguza gap la kutoka kura elfu 35 hadi elfu 26,kwa mazingira ya kawaida CHDEMA tumeshinda CCM imeanguka,msitafute mchawi katumikieni wananchi hamuwezi amini lakini anguko lenu liko wazi siku
 
weee Nape tupa kuleeeeee.... Yaani unashangilia kwamba mmepata kura 26000 kutoka 35k to hell.... Kaeni mkao wa kunyolewa tuu.. DR. W. Slaa atakuwa raisi wa hii nchi hata mfanyeje nyie na magamba yenu

Kuhusu Dkt Slaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; hapo nadhani tutapishana Ndugu Eliesikia. Dkt Slaa alishindwa legitimately, na anajua hilo; tena Dkt Slaa sio President Material. Nchi hii ina watu wanaoweza; I wouldnot regard Slaa kuwa mojawao. I am very sorry, ila hio ndio judgement yangu kwa Slaa. Anapenda kukurupuka; even when he has no reliable info
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

reflection ya 2015 imeonekana kwa sababu igunga co nani kashinda ila nikipimo cha credibility ya chama na muonekano ktk jamii haya kura mlizo pata 2010 na 2011 zpo sawa miez kadhaa maelf ya wa2 mmepoteza
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

reflection ya 2015 imeonekana kwa sababu igunga co nani kashinda ila nikipimo cha credibility ya chama na muonekano ktk jamii haya kura mlizo pata 2010 na 2011 zpo sawa miez kadhaa maelf ya wa2 mmepoteza
 
hakika chadema ni chama makini kwani kwa kukubalika huku kwenye jimbo kama IGUNGA basi ni ishara njema na ni wakati wa kujitayarisha na chaguzi za serikali ya mitaa na 2015


ukiwa na fikara dhahifu CCM unaweza kudhani imeshinda lakini ukiangalia mbali zaidi utaona CCM imeshindwa
 
uchaguz igunga ni reflection tosha ya uchaguz 2015 umaarufu wa ccm unaanza kwisha kwa miezi kumi baada ya uchaguz mkuu wamepunguza kura zaid ya elfu 10
 
Huyu Nape naona ana matatizo ya Akili yeye kawa tume.............Ni mara ya kwanza CDM kuweka mtu huko mambo hivyo.....Wananchi wa Igunga dhambi ya kumchagua huyo kima wa madini itawatafuna milele.
Magwanda kwa kutoa laana huwa hawajambo.
 
Mlisha muona mbwa akibweka na domo lake likiwa juu???? ndo nape hapa ,,ana domo kama bakuli la kunywea uji maana maneno anayoongea kama mama ambaye amebobea na ukahaba na umbea sugu,,,pole sana ccm kama mnadhani mna kiongozi basi hapa kwa nape mlikosea na ndie atakuwa chanzo cha kufa ccm maana haongei kama kiongozi wa watu ila anaongea kama shangingi katoka kubemendwa.
 
Haya matokeo ya Ndugu yangu Nape mbona kata moja imejirudia mara 2 na kura ni tofauti au ndo hizo za kuchakachua na kuzuia TV na radio kuendelea kutangaza ili waweze kuchakachua vizuri. Mkuu kuwa makini kusoma yaani hapo inaonyesha hayo matokeo ni ya kutengenezwa kabla hayaendani na hali halisi.
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

hapo aikustahili mtu kama nape kuja na kutoka mapovu kura elfu nne ndo zinakufanya upige kelele.nendeni msiktini kawashukuruni na mashehe ubwabwa waliowapigia kampeni hadi kafu imetoka patupu.ONGERA CHADEMA MAFANIKIO MAZURI inatakiwa 2014 serikali za mitaa tuanze kuweka watu chama kimeshakubalika ni nguvu kidogo iwekwe ktk serikali za mitaa na kata tutafika magogoni kwa imani. Magamba wameshachokwa ni watu wachache ndio wanatuangusha wenye kutaka udini na propaganda.kudos cdm
 
Mi naamini mwenyewe unajua uo ushindi sio wa halali,mmehonga,siasa za kuchafua wenzenu,mmepunguza wapiga kura na mmeiba kura pia. Anyway hongereni ila nawaambia kitu kimoja,apo igunga mtapata shida sana,watu hawakuwachagueni,mmelazimisha ushindi.
 
kwa nguvu ccm iliyotumia na kwa wizi wa kura wa ccm ni moja kwa moja kuwa chadema imeshinda, lakini ccm ni lazima inamfia babarizimoja kama ilivyotabiriwa na wahanga mapema.
 
Jamani hivi huko Igunga kuna kata mbili tofauti zinazoitwa MBUTU? Maana kila nikisoma matokeo naona kata ya Mbutu imejirudia mara mbili
 
Nimeangalia TBC asubuhi hii kwa shauku ya kujua mshindi, lakini bado wanasema zoezi la kujumlisha bado linaendela, sasa haya mahesabu ya NAPE yanatoka wapi? Ama ndio walivyopanga katika uchakachuaji?

Mimi napendekeza tusubiri msimamizi wa uchaguzi atangaze matokeo.
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

Kata ya mbutu ikoje.?
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

Hapa kuna dalili zote za kufabricate matokeo. Kata ya mbutu kwa mfano inaonekana mara mbili ikiwa na takwimu tofauti.

Sina shaka kwamba magamba watatangazwa washindi kwa kuchakachua.
 
MATOKEO YA NAPE YATAUMBUA CCM ZAIDI KUHUSU UCHAKACHUAJI WAO WA
KUNUNUA KURA ZA CUF NYUMA YA PAZIA IGUNGA



Hebu fikiria

1. mtokeo ya kata moja iitwayo
MBUTU yametolewa mara mbili kwa takwimu za aina mbili tofauti huku CCM ikipata kura nyingi mno katika mazingira hiyo tata (Matangazo ya Nape).

2. Katika hali isiokawaida,
kura za CUF zimepotelea wapi ghafla wakati ni chama kimojawapo kilichokua nga nguvu sana Igunga???????

3. Kwa nini Nape kama kiongozi mojawapo wa vyama vinavyoshindana katika kinyang'anyiro hicho
aachiwe jukumu la KUTANGAZIA TAIFA matokeo ya uchaguzi???

4. Kwa Mujibu wa 'Matokeo ya Nape', CCM imeshinda kwa kura
26,266 na CHADEMA 22,443 lakini kwa kura zilizotokana na kata 22, je kura za kata zingine 4 ziko wapi na kitu gani kinatuminisha kwamba ushindi unaweza ukapatikana bila kata hizo 4???????????

5.
Kwa nini Tume ya Uchaguzi ishindwe mpaka sasa hivi kujumlisha na kutangaza matokeo ya Igunga mpaka hivi sasa lakini Nape na CCM wao waweze????????????

Bila HAKI uchaguzi Igunga bado haujafanyika kamwe!!!!!!!!!!!!!!! Kweli hizi ni Saisa uchwara mtupu chini ya CCM inayoelekea kufa kabla ya 2015.

Jamani hivi huko Igunga kuna kata mbili tofauti zinazoitwa MBUTU? Maana kila nikisoma matokeo naona kata ya Mbutu imejirudia mara mbili
 
Nimeangalia TBC asubuhi hii kwa shauku ya kujua mshindi, lakini bado wanasema zoezi la kujumlisha bado linaendela, sasa haya mahesabu ya NAPE yanatoka wapi? Ama ndio walivyopanga katika uchakachuaji?

Mimi napendekeza tusubiri msimamizi wa uchaguzi atangaze matokeo.

Haya matokeo ya Nape itakuwa ndio takwimu walizochakachua wameamua kuzitoa mapema ili ku pre empty wananchi.

Kata ya mbutu mathalani imetajwa mara mbili ikiwa na takwimu tofauti,hizi ni dalili za wazi za kuchakachua matokeo.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom