Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
Dah..chadema kwa kuchonga noma..ila wametoa na jasho CCM WATCHOUT mnapigiwa endiketa
 
Matokeo ya Igunga naona hivi sasa yamegeuka mambo ya utani tu; kila mtu huibuka na ya kwake mfukoni na tambo juu.

Kwa mfano naye huyu mtoto wa Nnauye naye kaibuka na ya kwake - haya tukayasome tukisubiri na matokeo kutoka kwa Mhe Tambwe Hizza.

haya km vile yamepikwa coz kuna vituo vimerudiwa mfano mbutu(hapa kwenye cm ya kichina siwez ku-hi lait)
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
dogo unafahamu kuwa wewe sio 'returning officer' wa Igunga na mtu kama wewe ambaye ni senior party official kutangaza unofficial results ni ulimbukeni/uendawazimu,halafu wewe si uliambiwa usihusike na lolote Igunga ? na hata ulipopita tu ulizuga eti nilipita kuhani msiba.
Jiuzulu tu chama hichi kina wenyewe na YOU ARE NOT ONE OF THEM FOR SURE.
Kuwa jasiri uamuzi mgumu uanze kwako.
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!
Angalia kwenye RED matokeo ya kupikwa jamani msihangaike na TISS wako kazini.
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!
mbutu ziko mbili!!!!mbona siwaelewi?
 
dogo unafahamu kuwa wewe sio 'returning officer' wa Igunga na mtu kama wewe ambaye ni senior party official kutangaza unofficial results ni ulimbukeni/uendawazimu,halafu wewe si uliambiwa usihusike na lolote Igunga ? na hata ulipopita tu ulizuga eti nilipita kuhani msiba.
Jiuzulu tu chama hichi kina wenyewe na YOU ARE NOT ONE OF THEM FOR SURE.
Kuwa jasiri uamuzi mgumu uanze kwako.
Huyu jamaa IQ ndogo sana yeye ni kiongozi wa Kitaifa anajua kutangaza matokeo kabla ya tume ni kosa halafu afadhali yangekuwa ya kweli sasa yamekosewa ni ya uongo.
 
Kwa vile najua jinsi CCM inavyotumia njia mbovu mbalimbali ili kujipatia ushindi, nina hamu ya kujua kuwa wameshinda kwa asilimia ngapi na zinalinganaje na zile walizopata kupitia kwa Rostam mwaka mmoja uliopita.
 
Angalia kwenye RED matokeo ya kupikwa jamani msihangaike na TISS wako kazini.


Tena yamepikwa na mtu mwenye brain capacity ambayo ni average kwa kusibitisha hilo angalia kwenye hizo total, namba 2 na 6 zimerudiwa mara tatu kila moja halafu3 na 4,4, yaani ubuifu wa akili ya kawaida kabisa anyway mwisho wa siku hapa ni matokeo kuchakachuliwa na ndio mkakati wenyewe unaendelea hivyo.
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
Magwanda yapi: ya kijani au ya khaki? Maana wote CCM na CDM mna magwanda.
 
Hiki ni kipimo cha Nape na CCM-MAGAMBA YAKE!hivi leo hata kama matokea ni hayo kwa kujigeuza Protas Magayane,huo ni ushindi wa kujivunia?hivi hata nafsi yako haikusuti we bwana mdogo?

Rafu mmecheza kwa refa ni wewe na magamba wenzio hakuna aliesema,kulikuwa na haja gani ya kufanya rushwa ya wazi wazi kwa mh. Magufuli kuuambia umma kwamba ata-allocate budget maalum ya kujenga daraja la Mbutu?kipindi hiki cha uchaguzi,kama mpango huo ulikuwepo kwanini asubiri uchaguzi?

Je kwani angeitisha press conference kama ingefaa kufanya hivyo si ingetosha?lakini all in all mwenye akili timamu asie na LAANA ya dhuluma, ufisadi, uongo kwa kudanganya umm,unyonyaji wa jasho la walala hoi wa Tanzania hawezi kujisifu kwa tofauti ya kura 3,000, huku mlikuwa mnjinadi kuwa ninyi ndo we serikali, ninyi mna uzoefu wa takribani miaka 50, ninyi ndo wenye budget, mna dola, na kuhamishia ofisi serikali (mawaziri), kwa msaada wa usala wa taifa, polisi, green guard, watendaji wa kata na vijiji, madiwani, wafanya biashara wa Igunga na DAR kama mlivyokuwa mmejiaandaa,rushwa za kila aina na uchakachuaji wote tofauti ni kura 3000,hiyo ni nonsense.

Umezidiwa hata na Mtatiro kaongea cha ukweli tena kiume nae tukamjibu nyie si mlikuwa two in one?na kweli unachekelea ushindi kiduchu wakati mlikuwa mtu na mkewe.

Chadema wameingia for the first time umeona moto wake?ndo ujue kama hujui kulala na njaa Nape utalala tu,tena usije ikawa nuna ma criminal mengi ya kifisadi maana nguvu ya umma inavyokuja kwa kasi hivi elewa kwamba mtaondoka tu kwenye sysstem na kiukweli mnavyotunyonya labda mji gaddafi.

Shabikieni sana lakini siku zenu zinahesabika,nayinyi hili mnalijua,sasa kama wewe ni mshindi ingawa ulipigwa stop kwenda huko,Rudini Dodoma basi myafukuze magamba.

HAPO NI SAWA NA MKUU MMOJA ALIVYOKPROMISE $100, Hapo watu watakuahidi hata $ 10,000 lakini hamtavuana magamba.
 
Kweli siasa za watawala zimeingiliwa na vituko! Hii ni kauli inayotoka kwa mtu aliyeteuliwa na Mkuu wa Kaya kutawala wilaya na Kitengo cha Uenezi katika Chama cha Magamba. Anzeni kutafakari jamani. Baadhi yenu hekima za kuongoza hamna kabisa labda kama mngeweza kumsaidia Mzee Yusuf kutunga yale mashairi yake. Inawezekana wabongo kwa kutojua walichagua mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri lakini cha ajabu naanza kuhisi hata anaoteua pia hawana tofauti yeyote na yeye.

MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
 
actually Nape anajidhalilisha sana humu JF na FB...He is c.h.e.a.p, ana' a very narrow mind, he is not gentle, not matured enough etc! zat' ol i cn say... cjui nani anamshaurigi huyu jamaa!
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
nafikiri kwa kiongozi wa juu wa chama kama siku nyingine unatakiwa uwe makini,katika list uliyotoa wewe naona kata 9 zimeongozwa na chadema, naamini sasa uongozi ulipewa kwa fadhila za baba
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

katika vilaza na wewe upo. hivi umeshindwa hata kujumulisha na kutoa hapo juu? au umeandikiwa taarifa? mbona CDM wameshinda kata tisa au huoni. nimejiridhirisha kuwa hayo matokeo ni uwongo mtupu.
 
Nape ndugu yangu kweli hii ni aibu iliyoje kwa chama tawala kupata ushindi wa kura ya tofauti ya 4000? haiingii akilini na cha kushangaza zaidi jinsi ulivyopost haya matokeo ni kama vile chama tawala kimeshinda kwa ushindi wa kishindo!!! Licha ya viongozi wote wa chama tawala na serikali yake kuwa huko igunga, pesa iliyotumika, uchafu mliofanya lakini mmeabulia kura hizo tu?? hii ni aibu kwa kweli.

Kwa matokeo haya Mwenyekiti wa chama na Rais wa Tanzania inabidi ajiulize maswali mengi sana na inabidi wapate majibu ya haraka sana kwani bila ya hivyo kuna kazi kubwa sana mbeleni. Siyo kwamba naombea mabaya, lakini kuna wabunge wengi wataondoka duniani na kutakuwa na chaguzi ndogo nyingi tu hata kabla ya 2015, hivyo basi ni wazi kabisa chadema itakuwa na nguvu kubwa sana.

Mwisho Katibu Mwenezi wa chama tawala kutangaza matokeo hii ni kinyime cha sheria na kwa kweli wenye akili sina hakika kama wataendelea kumheshimu kuanzia sasa. Nape lazima afahamu kwamba nafasi aliyopewa ni ya miaka miwili tu kwani mwaka kesho JK hawezi kumrudisha tena wakati wa kufanya uteuzi upya baada ya chaguzi za chama.

Ushauri wangu CCM lazima wajipange sana ili wajue ni wazi wanakosea, wasikilize kero na kilio cha wananchi na wanachama kwani nafasi ya kujirekebisha bado ipo. Bila ya hivyo chama tawala kitageuka kuwa chama pinzani si mbali ni 2015 tu. Turejee yaliyowakuta KANU.

Nawasilisha.
 
Ninachozidi kukukandia Nape ni utoto, kwani lugha zako huonekani kama mtu mwenye wadhifa, ila wale jamaa wa mitaani, na huonyeshi dalili za mtu kupata malezi kwenye familia yenye wazazi wenye nafasi. Unatakiwa jifunze lugha zile za ustaarabu ambazo zinakuweka kwenye heshima yako. Kumbuka huwakilishi kundi la mitaani, bali umma wa watu wenye rika zote na nafasi mbalimbali katika jamii. Hii kitu unaongea hapo kwangu mie unaonyesha ulivyo mtupu kimaadili na kabisa busara na hekima vimekupiga kikumbo mno. Hali hiyo inakuvunjia heshima badala ya kukujengea in future.

Kumbuka tunavyokushauri ni kwa nia njema kabisa, unataka uone jamii yako tunaokuzunguka na kuongea juu yako ni kioo chako cha kujitazama na kujirekebisha kama umefanya visivyo, lakini ufanyavyo ni kama mtu mwenye sikio lililokufa. Jaribu kurudi kachukue somo la uongozi watakusaidia kupata falsafa gani kama kiongozi mwandamizi utumie kwenye umma badala ya hii, maana kuna wazee wenye heshima zao hawatafurahishwa na lugha hizi.

Nikupe darasa: ungeandika kama ifuatavyo ningekuona zimekaa vizuri kichwani:
"Pamoja na jitihaza zote za Chadema na kujigamba kuchukua Jimbo la Igunda imewawia vigumu kwa vile CCM ina mizizi. Hata hivyo tunawapongeza Chadema kwa changamoto waliyotupa na tumejifunza udhaifu wetu namna gani ya kukabiliana nao. Hivyo ushindi wetu kwa kuchukua kata nyingi ni kielelezo cha kukubalika bado kwa chama chetu huko Igunga."

Hii ningekuona kama kichwani umetulia, lakini uliyoongea ni sawu r righta na wale jamaa baada ya kukolea hukenua midomo na kutikisa mabega huku mwili ukiwasisimua kwa awamu kwa vile wamekuwa stimulated by something, you know what I mean?

U r right Nape is like a hole in a head! haonyeshi ukomavu kama kiongozi, ni mwepesi sana. laiti kama angefanya assessment ndogo tu ya kujiuliza kwanini Chadema kinasimamisha mgombea kwa mara ya kwanza Igunga na bado wakakitoa kamasi chama kikongwe hata washindwe kupata usingizi? hawana cha kujivunia, wakujivuna hapo ni Chadema kwani wamepambana na nguvu ya fedha, nguvu za serikali na kila kiongozi aliyeweza kufika Igunga kuongeza nguvu alifanya hivyo. kama Chadema kilikuwa legelege kwanini CCM wametumia nguvu ya ziada kushinda? Ni kweli hatumlaumu Nape kwani alikosa malezi aliyostahili kupata (born out of wedlock) na he is trying to prove that he is capable enough - matokeo yake anakosa hekima! Nilidhani hayo yatangazwe na tume ya Uchaguzi kwanza, with CCM everything is possible!
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
Iwapo kweli hayo ndiyo matokeo, basi ccm hamna sababu ya kujivuna! Ndio mnaishia hivyo! Pamoja na nguvu zote zilizotumika zikiwemo na propaganda chafu za udini kwa kutumia Bakwata ndio mnaambulia kiasi hicho? Pamoja na viongozi wa Serikali na kufunga maofisi Dar es salaam na kuhamia Igunga, hiyo ndiyo percentage inayowafanya mbweteke? Pamoja na vitisho vyote vya Green Guard na matumizi makubwa ya pesa za kifisadi kwa ajili ya kuhonga kwenye huo uchaguzi mdogo, mnadhani mnao usalama siku za usoni?
 
Angalia kwenye RED matokeo ya kupikwa jamani msihangaike na TISS wako kazini.

Come on Nape! A good liar must have a good memory too! Kuna kata ngapi Igunga zinazoitwa Mbutu???? mbaya zaidi waweza kujitetea kuwa imejirudia, lakini figures mbona ni tofauti....? something must be very serious wrong! umewasaidia Watz kujua nini kinaendelea, wenye akili tumekusoma!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom