Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
KAMA KWELI KAKANA KITU BASI HICHI KIJITOTO CHA MZEE NNAUYE HAFAI HATA KUSHIKA NAFASI YA UKATIBU KATA!!!!!!!!!!!

Kama kweli anadiriki kukana waka THREAD yake nzima tulishaihifadhi mbali kabisa kutokana na hiyo BLANDER YA KISHERIA aliyoifanya basi huyu kijana wa Mzee Nnauye HAFAI hata kushika nafasi ya UKATIBU KATA - ovyo kabisa hamna kitu pale.

Nape na CCM kweli mnaleta 'mzaha za akina Rage na bunduki kuwarukia viunoni bila kutambua' katika masuala nyeti kama haya ya uchaguzi.

Kama haujui maana ya kosa la KIUFUNDI ulilolitenda basi nenda ukamuulize Mzee Mukama atakuelewesha pengine kwa kukulambisha kibao cha uso maana mpaka hapa
KUNA KILA DALILI uchaguzi wa Igunga kuingia DOSARI KUBWA hivyo kuhitaji tafsiri za hali ya juu kisheria.

NB: Na mpaka hapa ni vema ikaeleweka wazi kwamba KITU CHOCHOTE MATANGAZO YA MATOKEO YA UCHAGUZI kwa jina la Jimbo la Igunga KAMWE HAYAWEZI KUAMINIKA tena na mtu yeyote mwenye akili timamu na ufahamu wa sheria za uchaguzi.

Nape na CCM tayari mmeingiza taifa kwenye HASARA kubwa katika hili.
 
Wadau, asubuhii hii saa 12, Nape amehojiwa na Tbc taifa kuhusu hatua yake ya kutangaza matokeo mtandaoni wakati msimamizi wa uchaguzi hazatangaza. Amekana kuweka matokeo mtandaoni, na ameikana JF kua yeye hawezi kuandika humu maana hana ID, kwahiyo matokeo yaliyotangazwa JF yeye hayajui! sasa najiuliza iweje akane yale matokeo na wakati hata kwenye wall yake aliweka? na ile ID ya Mnauye jr sio yake wadau mbona anakana si member?

Huyu magamba hafai kabisa. Ni bwana mdogo sana tunaomba Cv yake maana tusije kuwa tunabishana na kilaza
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Haya mmeshinda kwa asilimia ngapi na nguvu zote hizo mlizowekeza? tofauti ya kura 4000 tu sioni kama mmeshinda tena inawezekana hapo mmejitahidi sana kuiba lakini mjue kuwa ndo mnazidi kupotea hivyo maana 2010 mlikuwa na kura 35,000 na ushehe na baada ya miezi 11 mna 26,000 na ushehe unaona ni dalili nzuri hizo? Na 2015 mtaanguka vibaya sana. Lakini kwa kuwa wewe sio analytic unakurupuka na kushangilia ushindi as if mmeshinda mbali saana. We unadhani magwanda kupata kura zaidi ya 22,000 ni mchezo na jeshi lote lile mliloliweka Igunga? Tunaamini mabadiliko ni taratibu na hii nchi CCM mtaipoteza tu mpende msipende tena nakusikitikia wewe baada ya miaka 3 ijayo sijui utakuwa unafanya nini maana asilimia 99.99 unategemea kula yako kwa CCM.
 
huyu dogo ni bingwa wa kukana na kukanwa mnakumbuka makamba na familia ya nnauye walishawai kumkana?
 
Kwan mwenye mamlaka ya kutoa matoke ni Nape au NEC? Ndo maaana @mwana ccm ana matokeo yake! so yalshapangwa kuwa hyo!
na hayo mabox ya kura feki yalyokamatwa yanatafta nn? je n mangapi yameptshwa bla kuonwa? Tumewachoka CCM na wizi wa lazma!!
 
Best before date yet as a people we still consume this thingy of green and yellow. Kwaheri wandugu i venture abroad and wait in ambush for the ideal day when elections are free fair and informed.
 
Igunga wameshajichimbia kaburi jingine tena kwa miaka 4 ijayo! Watakuwa ndani ya kifungo ndani ya miaka 4 na watakuwa wakilia na kusaga meno juu ya maisha magumu haya acha waendelee kufa njaa, kuishi maaisha magumu maana ndo wamechagua mafisadi.
 
Akane si yeye kwenye hii picha

320236_272744696080284_100000342668655_965237_1632880002_n.jpg
 
Shame on u Munauye junior! U dont have shy in ur face for ur beauteful lie? U dont want u to make this country loose its direction! This is a mess, poor Tanzanians Ooh lord help us to be free from these disgusting leaders.
 
Ndio kawaida yao hawa,ata siku moja mtu hasiyejiamini na afanyacho awezeki kuwa na kauli moja.
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!
Bado cmuamin huyu kijana
 
Hili ni doa kwa NEC na uthibitisho tosha kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa kura.uchaguzi wa igunga ni VOID!
 
Igunga wameshajichimbia kaburi jingine tena kwa miaka 4 ijayo! Watakuwa ndani ya kifungo ndani ya miaka 4 na watakuwa wakilia na kusaga meno juu ya maisha magumu haya acha waendelee kufa njaa, kuishi maaisha magumu maana ndo wamechagua mafisadi.

kwakuwa wameshindwa kujisahihisha, wataishi na matokeo yake. Ila wamewadhulumu watanzania kwa kuwaongezea wazomeaji.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom