Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
Regia Estelatus Mtema Hongera wanaCCM,Hongera Mwigulu! 3 minutes ago · 1 · Like · 4 Comments

Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860

Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

kila lugha ina mazingira yake halafu dawa ya moto ni moto huwezi kutoa lugha ya kistaarabu kwa mtu anayetoa lugha za kihuni mi kwanza naona hakuna ubaya wowote kwa kauli hiyo ya nape!

Mi nakushangaa sana, kwa hiyo unataka kusema hata JK anapoambiwa wewe ni Kigeugeu, na yeye anatakiwa kuwaambia na nyie vigeugeu!!

Kiongozi hasifiwi, ila anategewa kufanya mazuri wakati wote na ndiyo mana watu wamemwamini na kumpa uongozi (kufanya vizuri muda wote ndiyo kazi yake haitaji kusifiwa). Sasa Nape anapofanya mambo yasiyoeleweka (lugha za kihuni) kwenye jamii, lazima tumshangae kwa sababu hakutarajiwa kutoa lugha za kihuni. Anasikilizwa na kuaminiwa na watu wa rika zote, sasa chochote asemacho kitawafikia hawa watu. Hata hao wahuni humchagua kiongozi wao pia ambae wanafikiri ana busara kuliko wao, sasa kama nae ataoneka muhuni basi atakua hajawatendea haki

MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

tuondolee ujinga wako janga la kitaifa ww, hyo nafasi bora wangepewa Sophia Simba au celina Kombani angalau wao wanakaupeo kidogo kakufikiri.

Slaa alishasema kuwa vijana wake wanalinda kura zisiibiwe sasa huo wizi umetoka wapi. Sisi CCM tunasubiri matokeo na kama tumeshindwa ni sawa tu lakini hatutarusha matusi kama hawa vijana wa Slaa humu JF.
Hata Magamba wenzako wanajua hakuna ushindi rahisi bila kuchakachua.. WaTZ wa sasa wanaelewa kuwa chama tawala kimekosa mvuto. Na kwa taarifa yako wengi wamebeba kadi za Magamba ila kwn boksi la kura wanapigia upinzani. Wanaamini magamba na uongozi wake watabadilika lakini wapi! Ni sikio la kufa.Na wakiendelea na mtindo huu kwa miaka 20 ijayo yanayotoke Syria,Yemen,Libya,Misri yatatokea hapa kwetu

Pamoja na magamba kushnda kwa ushnd dhaifu jimbo la igunga,bado harakat za mageuz zinasonga mbele na balaa zaid wataisoma namba 2015.jitihada zilizooneshwa na wanamagamba,serikal(mawaziri,rais mstaafu),jeur ya fedha kwa kuwachelewesha wafanyakaz mishahara yao ya sept ili wahonge wapiga kura pamoja na nguvu ya polis na usalama wa taifa ni dhahir tosha kwamba magamba hayakubalik kwa watanzania walioweng. "ushaur"naomba magamba yaliyosalia including lowassa, chenge nawengineo pia wajivue gamba ili muone moto wa chadema.

Nnaaappeee unaaibisha vijana wa miaka ya 80. Leta siasa zenye tija,acha kuropoka kwani wewe ni tume ya uchaguzi? Unamamlaka gani ndani ya tume ya uchaguzi hadi kutanganza matokeo kwenye wall yako?otherwise ur not naaaaappppeeee!!!

Hya nii mafanikio makubwa sana kwa hawa chadema, na tusiwadharau, wananguvu sana ukizingatia kwanza hawakua na mtaji wowote wa kura hapa igunga, wanapata umaarufu kila kukiicha.tufikiri kwa umakini kwani hawa waliopigia chadema ni chimbuko la cccmmm, na kuna hatari kubwa sana miaka 10 ijayo kwani mtaji wa ccm kupitia wazee utakua umepungua sana kama si kuisha.hakuna kijana mzalendo anayeipenda ccccmmmm. Siasa za uongo, na kutokua wawajibikaji. Naaaappppeeee kumbuka ulivyokiponda chama kabla ccj haijatoswa those ays afu leo unakisifiaangalia usiwe zulia la mabaya kwa kuchukiwa na wazee wa chama pamoja na vijana. Inashangaza sana kuona siasa za gamba na mikakati hewa.hii inashiria nni ndani ya chama chetu?

Pamoja na tambo, kelele, uongo mwingi wa wilbroad slaa na baadhi ya wanachama wa kampuni ya chadema leo wameangukia pua huko igunga baada ya wana igunga zaid ya elfu 26 dhidi ya 22 mapipo'z kukishindisho ccm kw ushndi wa kimbunga...chakushangaza ni kwamba wale wachaga wacheche wanaojifanya cdm ni yao walikuwepo wote igunga pamoja na wale vibaraka wanaotumiwa na wachaga hao walikuwepo huko na wote kuambulia patupu...mfano wa vibaraka hao ni Tindu lisu, kabwe zito, wenje, hawa wamekula unga wa ndere...al in
:yield::smile-big:

CUF ni Mdudu mbaya anayeishi kwenye nguo zetu, tulishaikataa CCM lakini baadhi yetu tunaivaa CUF. Hawa ndio hao hao wanaonyonya damu zetu na kuwapelekea CCM. Ni jambo la kusikitisha kwamba wamekubali kuwa kupe wasiofaidi damu wanayoinyonya wenyewe, mwelekeo ni kwamba hii ya Igunga haiwezekani CUF wakawa na kura chache kiasi hicho kulingana na ushindani ulivyokuwa. Kinachoonekana hapa CCM waliwatumia sana CUF ili kura zitakazoenda CUF zihamishiwe CCM baadaye, na ndicho kilichofanyika hapo Igunga. Mh. Mahona anapendwa sana tangu hata alipopambana na Rostam, CUF wametumia sana Chopa na haiwezekani vituo vingi CUF wapate kura 1, au 5, au 3... haileti picha. Hii inaonyesha pia Mahona wa CUF siku ya mwisho alipigana kwa kuelekezwa, na atakuwa ameahidiwa jambo ambalo tutaliona matokeo yake sio siku nyingi.

CUF ni Mdudu anayeishi kwenye nguo zetu na kutunyonya damu anayowapa CCM tuliowakataa, CUF ni shetani anayeishi kwenye nyumba zetu anayeiba mali zetu na kuwapelekea CCM tuliowakataa. Sio kificho tena kwamba CUF = CCM, it's official now. Tumkatate huyu Mdudu ama Shetani anayeishi kwenye nyumba zetu kama ndugu yetu kumbe anatunyonya kwa siri.

Nape unaweza kurudia kidogo kwenye kata ya mbutu, make mnachakachua mpaka gre8 thinkers? you are more than normal politicians. hate you.

Regia Estelatus Mtema Hongera wanaCCM,Hongera Mwigulu! 3 minutes ago · 1 · Like · 4 Comments
Bora yeye ameyakubali matokeo.
Dr Slaa atakuja kusema hapa uchaguzi haukuwa huru na wa haki

Inashangaza sana ccm kukubalka Vijijini kuliko mIJINI , KWA LUGHA NYEPESI CHAMA HIKI KINAMTAJI WA WATU wengi wanaodanganyika kirahisi kwa sera rahisi lakini ngumu kutekeleza. Nilibahatika siku moja pia kuhudhuria mkutano wa kijana NAPE, kwa kweli sikuamini kama ni Nape.  Sina hakika kama yeye ndio mtaji wa mwisho wa vijana wa ccmm.

Nashangaa sana kwanii  ndgu Januari Makamba hakupewa  nafasi ya Nape Nape wa cccmmm SINA UHAKKA KAMA KWELI ANAWEZA KUWASHAWISHI Vijana wasomi wakawmuelewa.Nilishangaa sana katika mkutno  akishangiliwa na kundi la vijna wa mtaani na standi.Bila kutafakari vijana hao wanapendele nini, bila shaka aliwakuna kwa lugha wazipenazo vijana hawa.

Toka Mjini twende kijijini, Nape kama hukubali ukifika kijijini utapata wafuasi wengi sana tena wazee, ila nakuaomba usije tumia lugha unazotumia kwani wataweza kukulaani. Mtaji huu wa wazee pia uanpungua na baadhi yo wanajiunga kwenye vyama vingine.

Tathimini yangu inaonesha wazi kwamba kwa miaka ijayo ccmm tutaanguka vibya sana kwani hata madiwani wengi wa chama hawafanyi mikutano na wananchi wao,hawatoi hata lifti kwenye amagari yao, na hata hawataki kusikia kero za wananchi waliowachagua. hii ni mbaya sana kwa mtji wa chama kwa watu wa vijijin ambao nao wameanza kufunguka macho na akili.

CCM , BABA HAJITAMBULISHI KWA MTOTO

MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Acha kuchanganya watu wewe, wengine huku tunaenelea kufuatilia na inaonesha kuna kata nyingine hata hazijawasilisha mabox ya kura sasa ww umetoa wap hizo au ndo kama mlivyozoea kwa7bu tunajua nyie mlikua zaman sio sasa.

Inashangaza sana ccm kukubalka Vijijini kuliko mIJINI , KWA LUGHA NYEPESI CHAMA HIKI KINAMTAJI WA WATU wengi wanaodanganyika kirahisi kwa sera rahisi lakini ngumu kutekeleza.
Nilibahatika siku moja pia kuhudhuria mkutano wa kijana NAPE, kwa kweli sikuamini kama ni Nape.  Sina hakika kama yeye ndio mtaji wa mwisho wa vijana wa ccmm.Nashangaa sana kwanii  ndgu Januari Makamba hakupewa  nafasi ya Nape?

Nape wa cccmmm SINA UHAKKA KAMA KWELI ANAWEZA KUWASHAWISHI Vijana wasomi wakawmuelewa.Nilishangaa sana katika mkutno  akishangiliwa na kundi la vijna wa mtaani na standi.Bila kutafakari vijana hao wanapendele nini, bila shaka aliwakuna kwa lugha wazipenazo vijana hawa.
Toka Mjini twende kijijini, Nape kama hukubali ukifika kijijini utapata wafuasi wengi sana tena wazee, ila nakuaomba usije tumia lugha unazotumia kwani wataweza kukulaani. Mtaji huu wa wazee pia uanpungua na baadhi yo wanajiunga kwenye vyama vingine.

Tathimini yangu inaonesha wazi kwamba kwa miaka ijayo ccmm tutaanguka vibya sana kwani hata madiwani wengi wa chama hawafanyi mikutano na wananchi wao,hawatoi hata lifti kwenye amagari yao, na hata hawataki kusikia kero za wananchi waliowachagua. hii ni mbaya sana kwa mtji wa chama kwa watu wa vijijin ambao nao wameanza kufunguka macho na akili.

CCMM , BABA HAJITAMBULISHI KWA MTOTO,

Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

Nape kafuta hii status kwenye wall yake kisha kakana kuandika chochote kwenye mtandao

Unajua Nape,kimbelembele ndicho kitu kikubwa kinachokuponza ndani ya CCM.Hautulii kutafakari jambo.Ni mwepesi wa kuongea bila kutafakari.Sasa hayo matokeo wewe umekua Tume?Haja yangu angalia nafasi ulonayo na hicho ulichokifanya,utajiona umekurupuka.

Nnauye,jipendekeze kwa vipimo,hizo nafasi unazopewa ni za kutuliza domo lako si kama unafaa.Mungu akusaidie we kijana.

MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini
I hope unaona statistics! otherwise, tutakapobadili katiba wapaga kura wenye akili tutakuwa wachache, oneni aibu kidogo kwa kuchaguliwa na tabaka la wasiojua kitu na ambao kila siku wanaomba misaada kwenye media ati serikali iwasaidie, wakati uwezo wa kutenda wanao! Mwisho ndo umefika kaka, wapiga kura wenye kuelewa wataamua pale katibampya itakapokuwa in action! Hebu kitu kimoja uweke wazi unambie, mlitumia funds za chama kweli hapo, make hamna hata audit huko, pia za serikali walizozitumia tunataka ziwe audited!

Mkuu asante sana kwa kumfunda kijana huyu aliyepewa wadhifa na mkuu wa nchi. Tatizo la viongozi wa Africa hasa Tanzania nikilenga hasa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania lina viongozi walioko kule kuwakilisha viongozi wa ngazi za juu wa serikali na sio umma wa watanzania. Viongozi hawa mara nyingi wamejikuta wakisema na kushabikia hoja au mambo yasiyo na tija kwa watanzania. Ktk ushabiki na siasa zao kuna chuki za wazi tena zinazochochea mgawanyiko ktk jamii. Ni rahisi sana kumzomea au kumcheka mbunge wa upinzani anapotoa hoja bungeni tena kwa kulia akitetea masilahi ya wanyonge, lakini ni rahisi sana kuunga mkono hoja isiyo na masilahi kwa wananchi (MH. Spika aulizapo...wanaounga mkono hoja waseme ndio--Huitikia kwa mbwembwe na kejeli ...NDIOOOOOOO....lakini haya yote ni = Ndio Mzee).

Hivyo kijana Nape yampasa kutafakari kabla ya kutoa kauli yeyote ile. Ni vema ajifunze kwa vijana wenzake ambao wameonesha muelekeo mzuri na huwa wanatoa hoja makini...mfano John Mnyika, Kafulila, Jusa na Makamba.

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom