Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
Pamoja na tambo, kelele, uongo mwingi wa wilbroad slaa na baadhi ya wanachama wa kampuni ya chadema leo wameangukia pua huko igunga baada ya wana igunga zaid ya elfu 26 dhidi ya 22 mapipo'z kukishindisho ccm kw ushndi wa kimbunga...chakushangaza ni kwamba wale wachaga wacheche wanaojifanya cdm ni yao walikuwepo wote igunga pamoja na wale vibaraka wanaotumiwa na wachaga hao walikuwepo huko na wote kuambulia patupu...mfano wa vibaraka hao ni Tindu lisu, kabwe zito, wenje, hawa wamekula unga wa ndere...al in
 
We ndo bado kweli eti unafurahia ushindi wa chama cha wadhalimu na ushindi mbao haujatangazwa rasmi maana bado wanajaribu kuchakachua kura lakini hesabu haziendi kama walivyodhania.
 
Hawa Watoto Wanachezea Koki, Mi nilijua lazma Waloe Hivyo sio ajabu.
 
Malezi ndugu yangu! Kutoka familia yenye nafasi wala si tija, mwache azidi kutupa kivuli cha utu wa wazazi wake tuliodhani ni waungwana!
 
katika vilaza na wewe upo. hivi umeshindwa hata kujumulisha na kutoa hapo juu? au umeandikiwa taarifa? mbona CDM wameshinda kata tisa au huoni. nimejiridhirisha kuwa hayo matokeo ni uwongo mtupu.
ni kushindwa kueleza tu.laki nafikisi hapo aliimanisha uchaguzi wa madiwani.na si kata za igunga,maana za igunga ni zaidi ya 22
 
Ingawa CCM ineshinda ila huu ni msiba mkubwa kwa CCM Mbunge gani atakeeheshimika jimboni kwake wakati 51% ya Wapiga kura wamemkataa hapa ninawasifu Chadema kutoka 0% kwenye jimbo hili hadi 45 % ni big jump ila kwa CUf as well wanahitaji kusoma alama za nyakati walizotumia CCM na Chadema kuweza kupata kura za zaidi ya 40% Mimi ningekuwa Mbunge wa Jimbo hili ningeona aibu kuongoza jimbo ambalo wapiga kura asilimai 51% wamenikataa huu ndio ukweli. Ninachoweza kusema Mbunge huyu Labda Kikwete afanye reshufle ampe japo uwaziri mdogo ili jina lake liwe maarufu si hivyo uchaguzi ujao CCM bye bye Igunga.
 
Ingawa CCM ineshinda ila huu ni msiba mkubwa kwa CCM Mbunge gani atakeeheshimika jimboni kwake wakati 51% ya Wapiga kura wamemkataa hapa ninawasifu Chadema kutoka 0% kwenye jimbo hili hadi 45 % ni big jump ila kwa CUf as well wanahitaji kusoma alama za nyakati walizotumia CCM na Chadema kuweza kupata kura za zaidi ya 40% Mimi ningekuwa Mbunge wa Jimbo hili ningeona aibu kuongoza jimbo ambalo wapiga kura asilimai 51% wamenikataa huu ndio ukweli. Ninachoweza kusema Mbunge huyu Labda Kikwete afanye reshufle ampe japo uwaziri mdogo ili jina lake liwe maarufu si hivyo uchaguzi ujao CCM bye bye Igunga.

Tunaangalia Uwingi Wa Kula ndipo mshindi anapatikana, hii haijalishi kwa idadi kiasi gani au asilimia. Hivi ikitokea chama kinashinda kwa tofauti ya kura moja si bado kutakuwa na mshindi, mkuu?
 
Pamoja na tambo, kelele, uongo mwingi wa wilbroad slaa na baadhi ya wanachama wa kampuni ya chadema leo wameangukia pua huko igunga baada ya wana igunga zaid ya elfu 26 dhidi ya 22 mapipo'z kukishindisho ccm kw ushndi wa kimbunga...chakushangaza ni kwamba wale wachaga wacheche wanaojifanya cdm ni yao walikuwepo wote igunga pamoja na wale vibaraka wanaotumiwa na wachaga hao walikuwepo huko na wote kuambulia patupu...mfano wa vibaraka hao ni Tindu lisu, kabwe zito, wenje, hawa wamekula unga wa ndere...al in
Afadhali ya kibaraka wa haki kuliko kibaraka wa majambazi "kiss ma ass"
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!
Nape You will not live to forget the curse you have caused to tanzanians. Kijana mchakachuaji the history will punish you idiot!
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Baada ya kujificha weeee na ile mi-ID yako ya kipuuzi unayoitumia ku-propagate ukabila na udini sasa umeibuka. Mkuu huu uchaguzi umekuvua nguo you are so cheeeeeap, sikutegemea. Lakini kumbuka there's alwayz a payback time.
 
Come on Nape! A good liar must have a good memory too! Kuna kata ngapi Igunga zinazoitwa Mbutu???? mbaya zaidi waweza kujitetea kuwa imejirudia, lakini figures mbona ni tofauti....? something must be very serious wrong! umewasaidia Watz kujua nini kinaendelea, wenye akili tumekusoma!
Peoples our next turn must be strongly on this nuts "nape". Our collective efforts in the future must concentrate to crush and finish this idiot! I hate him I hate him I hate him!.........
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. si nyie CDM mlisema hapa CCM kushenei haya limewashuka CCM bado inakubalika na hivyo vijikura mlivyovipata ni kwa sababu tu ya vijimambo ambavyo mmevifanya hapa Igunga. ukweli wa mambo mmefulia big time; ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa awike asiwike kutakucha tu
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Nilifikiri badala ya kushangilia ungesikitika, make data zinaonesha ccm ndiyo inaelekea kwishnei. Kwa mtaji huu chadema 2015 hawana mpinzani. Tafakari kwa kina, siyo kurukaruka tu.
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Bw Nnauye siku zote kwenye mpambano wa kisiasa kuongea kwa sauti kubwa ndio kusikilizwa. Mimi nawapongeza sana magamba kwa kushinda Igunga (kama kweli wameshinda kwa njia ya haki) nawapongeza Magwanda kwa kufanya kazi nzuri ya kuuza sera zao na kushindwa kwa kura karibu 4000 (fertile for doctoring results). Kwa wastaarabu mshindi anampa mkono aliyeshindwa na aliyeshindwa anakubali kushindwa na sio kumpa kejeli badala ya mkono. Baada ya uchaguzi wa Igunga nakuomba uendelee na kazi, ile CCM irudi kuwa kama ya enzi za Brigedia, sio hii ya sasa ambapo ikishinda wengine tunaona ni kushindwa kwa Tanzania.

I am sorry to say that whenever CCM wins it is like triumph of evil (nikisema evil maana yangu ni mafisadi na mtandao wake) lakini siasa za wastaarabu ni kukubali matokeo. Hongera Magamba, Magwanda jaribuni tena kesho.
 
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

INAKUAJE KATA ZA MBUTU ZIPO MBILI? Hv nape na ww ni Great thinker kweli sasa cha kukushauri hv vitu peleka kwenye wall yako FACEBOOK sio sisi wenye upeo wa kufikiri umetumwaa kuwahadaaa wananchi kwa matokeo ya kupikwa hayo.
 
Mimi Nitamuuliza huyu mla MAKUMBIRA huko Mtwara au Masasi sasa CCM haiwaamini vijana wake hadi walete wazee ndio wapate kura za wazee , haya jimbo moja tu , Mkapa , Wasira , Mzee wa Watu Mangula, Magufuli , January Makamba , Shigela nikiendeleza hii lsit naweza kusema jee 2015 lsit hii ya wazee mutaipata wapi kwa kila jimbo ?
 
kazi kweli kweli nape si ndo alikatazwa na chama chake kwenda igunga sasa yeye matokeo atajuaje
 
U r right Nape is like a hole in a head! haonyeshi ukomavu kama kiongozi, ni mwepesi sana. laiti kama angefanya assessment ndogo tu ya kujiuliza kwanini Chadema kinasimamisha mgombea kwa mara ya kwanza Igunga na bado wakakitoa kamasi chama kikongwe hata washindwe kupata usingizi? hawana cha kujivunia, wakujivuna hapo ni Chadema kwani wamepambana na nguvu ya fedha, nguvu za serikali na kila kiongozi aliyeweza kufika Igunga kuongeza nguvu alifanya hivyo. kama Chadema kilikuwa legelege kwanini CCM wametumia nguvu ya ziada kushinda? Ni kweli hatumlaumu Nape kwani alikosa malezi aliyostahili kupata (born out of wedlock) na he is trying to prove that he is capable enough - matokeo yake anakosa hekima! Nilidhani hayo yatangazwe na tume ya Uchaguzi kwanza, with CCM everything is possible!

Kwa ulinganifu, Mwigulu Mchemba ni bora 10x kuliko Nape. Sishangai CCM waliamua kumweka kando huyu kwenye uchaguzi kwani angeharibu mambo na uropokaji wake usio na kinga wala pazia. Nilishawahi kuongea nao wote wawili kwa njia ya facebook, lakini nikamwona Mwugulu mchemba ana busara katika kujibu na anaongea kwa tahadhari kuliko Nape anayebubujika tu kama mafuriko ya maji ambayo hayana control. Mwigulu alikuwa mwangalifu sababu hajui ni nani anayejibizana naye, lakini huyu Jr duh anaweza hata mwagia matapishi hata mamake.

Huenda wa Ikulu aliona matatizo kwenye kazi yake ya Ukuu wa wilaya, aliamua kumtoa na kumpa kazi nyingine kwa utaratibu wa demotion by promotion.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom