Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,628
Daktari ni neno iko natoholewa kiswahili imetokana na English!! yaani neno Doctor! (The healer, clinical officer) na ina maana ile ile kwa kiswahili pia!Naona kuna matumizi ya aina mbili ya neno daktari. 1. Mtaani kila anaetibu ni daktari. Haya ni matuzi yaliyoenea na ndio wengi wanaelewa hivyo. Kwa sisi wa 1947 hatukuwa na matumizi kama haya.
2. Rasmi. Ukiangalia documents za wizara, benjamin mkapa foundation, who ambazo ni za kiswahili Daktari ni MD na level hiyo. Wa Diploma ambao ni CO wanaitwa TABIBU na chini yao ni Tabibu Msaidizi (clinical assistants).
Kwa uelewa wangu mimi naenda na hiyo ya pili ambayo ndio hutumika rasmi hapa nchini na kila kundi lina majukumu yake.
Kama hujui tofauti bora ukae kimya utuachie sis wenye taaluma zetuWivu tu..si anatibu na dakitari anatibu sasa tofauti ni nini..?
#MaendeleoHayanaChama
Hawa madogo wanawapelekesha puta MDs sana tu!!! wapeleke!! wapeleke!! na mtatoa usajili tu mtake msitake hata mkianzisha vijiwe bado hamuaminiki wala kuwafikia!Cos! ndo maana mna choyo nao! vijiwe vyao vina peta kwa umaarufu Bongo nzima!Kama hujui tofauti bora ukae kimya utuachie sis wenye taaluma zetu
Hawa madogo wanawapelekesha puta MDs sana tu!!! wapeleke!! wapeleke!! na mtatoa usajili tu mtake msitake hata mkianzisha vijiwe bado hamuaminiki wala kuwafikia!Cos! ndo maana mna choyo nao! vijiwe vyao vina peta kwa umaarufu Bongo nzima!
Mfano TMK paleee nyuma!!! Masawe ni CO alijazia jazia tu huko Russia, huyo karuka na Hosp... na anapeta hasa!! kitambo, hata kwa umaarufu tu! na tiba sahihi kuliko yule Dr Mkurya yule wa Wankuru Dispensary, sijui hata anaitwa nani vile?
hata Medical representative, Dr Masawe wanamjua vilivyo!! Dar nzima wanamgombea! km mie muongo fanyeni research! Hawa MDs failure wana majungu sana, chuki, Dharau za kizamani hawataki kujifunza kutoka kwa COs!
Nasema inawagharimu sasa! na tena kwa hoja za hovyo kabisa mara Oooh! siyo Madaktari!! OK! wewe Dr Mbona huna hela zako! eti wanategemea mshahara Mkubwa serikalini mweee! apande pande vidaraja weeee!
halafu wanadhalilika kweli yaani ajikombe kwa ma boss wake! HR, DMO weee! Mpaka aibu!! ombeni kazi kwa vijiwe vya COs hamtaki ooh! wale siyo madaktari, sie Maboss wao!! haya bana!
Faberk Pharmacy/Hosp yake! alianza km CO hiyo hiyo pharmacy yake ikampeleka shule, sasa ameachia wanawe, inapeta kwa uaminifu Dar nzima. .... hawa CO kusema kweli wanakimbiza sana Majiji yote TZ!
siyo majungu ndo ukweli na tena madogo wanavo jua fursa mpaka Mikoani huko! wanapeta km mie muongo aje MD Yeyote hapa anipinge!
Mie nawashauri Cos hapo walipo ni tosha kabisa! waende wapige AMO' tu! na hii ni kozi pekee Rahisi mno kwao sana tu! ili wasajili vituo vyao wao wenyewe! bila kutegemea hao MDs tuone km MDs hawajafa njaa! watakimbia wizarani kuroga AMO ifutiwe usajili! na walisha jaribu mara kibao lkn wapi!
Lool! sasa hao waliokwisha pata wamepewa vyeo gani au ndo haohao waliokwisha soma baasi!Tatizo hio AMO hao hao wanaojiita maMD wameipiga majungu hadi imefutwa pia
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa nadhan ni kitabu cha Kutoka 1:4Daktari ni neno iko natoholewa kiswahili imetokana na English!! yaani neno Doctor! (The healer, clinical officer) na ina maana ile ile kwa kiswahili pia!
Tabibu ni lugha ya kiswaihili sanifu yaani mtoa tiba! mponyaji!! haijalishi awe wa kienyeji, awe wa kisaikolojia tu, km mke, mtoto, au mume ili mradi tu! uwepo wake yeye unakufanya upate nafuu! yeyote ile! mtu km huyu ni healer! ...sasa COs Ni tabibu wa cheti!
Tatizo lina kuja , watabibu km MDs. COs, kundi hili kuna mmojawao! ana chuki anaona kundi moja hili hawana stahili kuwa Waponyaji! tena wakiitwa kwa neno la kizungu!! eti Doctors! anaumia sana !! ivo tatizo ni kuitwa Kizungu!
kuliko akiitwa Kwa kiswahili yaani hapo ni sawa!! ........Ok! hawa ni ''Tabibu siyo Madaktari!'' unaona waafrica walivo wa ajabu? sasa huyu anaesema hivi ni ''MD'' tena msomi kabisaaa wa juu!! je ambao hawakusoma si ndo shida ndugu!
wanachogombania hapo ni kuitwa kama Mkoloni (kiingereza) tu! Baaasi! wakati wote ni waponyaji, (the healers) ndo maana ya neno ''Doctor kwa kigiriki'' sijui waaafrica Mzungu alipandikiza nini kwenye akili zao! research inatakiwa!
''Owing to the shortage of MDs, (COs is the back bone of health care system in Africa), and other developing countries!'' ujue kuwa wanafanya yale yale! hayo ni baadhi ya maazimio ya WHO! na wapo Dunia nzima! ....
..jamani kwani si M--google tu! ni rahisi mnoo kuyajua haya Kwa Dunia ya leo!
Ndo uone maajabu MDs gani asiye jua hata ku-goole!! anasumbua ivi!! ni aibu sana ujue!! yule jamaa anaepinga anachafua sana taaluma hallow!!
Bado ipo nimeziona form za kujiunga zinatolewa!! bado waende tu! hii hapa utasemaje! MDs wanawakatisha tamaa tu!! ajili ya uoga wao!Tatizo hio AMO hao hao wanaojiita maMD wameipiga majungu hadi imefutwa pia
Mkuu usicheleweshe mwanao hizi course zina pigwa vita sana!! lkn ndo ilivyo wao wanapeleka watoto wao!! angalia sasa hao hao MDs walitangazwa zimefutwa miaka mingi sana ili kuleta comfusions kwenye jamii.. angalia hapa JF.......Tatizo hio AMO hao hao wanaojiita maMD wameipiga majungu hadi imefutwa pia
Kwani AMO ipo siku hizi, ilishafutwa siku nyingi sana..waliosoma wakisha phase out, itabaki historia.Hawa madogo wanawapelekesha puta MDs sana tu!!! wapeleke!! wapeleke!! na mtatoa usajili tu mtake msitake hata mkianzisha vijiwe bado hamuaminiki wala kuwafikia!Cos! ndo maana mna choyo nao! vijiwe vyao vina peta kwa umaarufu Bongo nzima!
Mfano TMK paleee nyuma!!! Masawe ni CO alijazia jazia tu huko Russia, huyo karuka na Hosp... na anapeta hasa!! kitambo, hata kwa umaarufu tu! na tiba sahihi kuliko yule Dr Mkurya yule wa Wankuru Dispensary, sijui hata anaitwa nani vile?
hata Medical representative, Dr Masawe wanamjua vilivyo!! Dar nzima wanamgombea! km mie muongo fanyeni research! Hawa MDs failure wana majungu sana, chuki, Dharau za kizamani hawataki kujifunza kutoka kwa COs!
Nasema inawagharimu sasa! na tena kwa hoja za hovyo kabisa mara Oooh! siyo Madaktari!! OK! wewe Dr Mbona huna hela zako! eti wanategemea mshahara Mkubwa serikalini mweee! apande pande vidaraja weeee!
halafu wanadhalilika kweli yaani ajikombe kwa ma boss wake! HR, DMO weee! Mpaka aibu!! ombeni kazi kwa vijiwe vya COs hamtaki ooh! wale siyo madaktari, sie Maboss wao!! haya bana!
Faberk Pharmacy/Hosp yake! alianza km CO hiyo hiyo pharmacy yake ikampeleka shule, sasa ameachia wanawe, inapeta kwa uaminifu Dar nzima. .... hawa CO kusema kweli wanakimbiza sana Majiji yote TZ!
siyo majungu ndo ukweli na tena madogo wanavo jua fursa mpaka Mikoani huko! wanapeta km mie muongo aje MD Yeyote hapa anipinge!
Mie nawashauri Cos hapo walipo ni tosha kabisa! waende wapige AMO' tu! na hii ni kozi pekee Rahisi mno kwao sana tu! ili wasajili vituo vyao wao wenyewe! bila kutegemea hao MDs tuone km MDs hawajafa njaa! watakimbia wizarani kuroga AMO ifutiwe usajili! na walisha jaribu mara kibao lkn wapi!
Hapana! soma tena hapo juu! au nenda vyuoni moja kwa moja ndo watakupa jibu sahihi mkuu!Kwani AMO ipo siku hizi, ilishafutwa siku nyingi sana..waliosoma wakisha phase out, itabaki historia.
nimepitia thread zako nimegundua tunapoteza muda tu kudiscuss na wewe, rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa ungoHawa madogo wanawapelekesha puta MDs sana tu!!! wapeleke!! wapeleke!! na mtatoa usajili tu mtake msitake hata mkianzisha vijiwe bado hamuaminiki wala kuwafikia!Cos! ndo maana mna choyo nao! vijiwe vyao vina peta kwa umaarufu Bongo nzima!
Mfano TMK paleee nyuma!!! Masawe ni CO alijazia jazia tu huko Russia, huyo karuka na Hosp... na anapeta hasa!! kitambo, hata kwa umaarufu tu! na tiba sahihi kuliko yule Dr Mkurya yule wa Wankuru Dispensary, sijui hata anaitwa nani vile?
hata Medical representative, Dr Masawe wanamjua vilivyo!! Dar nzima wanamgombea! km mie muongo fanyeni research! Hawa MDs failure wana majungu sana, chuki, Dharau za kizamani hawataki kujifunza kutoka kwa COs!
Nasema inawagharimu sasa! na tena kwa hoja za hovyo kabisa mara Oooh! siyo Madaktari!! OK! wewe Dr Mbona huna hela zako! eti wanategemea mshahara Mkubwa serikalini mweee! apande pande vidaraja weeee!
halafu wanadhalilika kweli yaani ajikombe kwa ma boss wake! HR, DMO weee! Mpaka aibu!! ombeni kazi kwa vijiwe vya COs hamtaki ooh! wale siyo madaktari, sie Maboss wao!! haya bana!
Faberk Pharmacy/Hosp yake! alianza km CO hiyo hiyo pharmacy yake ikampeleka shule, sasa ameachia wanawe, inapeta kwa uaminifu Dar nzima. .... hawa CO kusema kweli wanakimbiza sana Majiji yote TZ!
siyo majungu ndo ukweli na tena madogo wanavo jua fursa mpaka Mikoani huko! wanapeta km mie muongo aje MD Yeyote hapa anipinge!
Mie nawashauri Cos hapo walipo ni tosha kabisa! waende wapige AMO' tu! na hii ni kozi pekee Rahisi mno kwao sana tu! ili wasajili vituo vyao wao wenyewe! bila kutegemea hao MDs tuone km MDs hawajafa njaa! watakimbia wizarani kuroga AMO ifutiwe usajili! na walisha jaribu mara kibao lkn wapi!
nimepitia thread zako nimegundua tunapoteza muda tu kudiscuss na wewe, rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa ungo
View attachment 1996262View attachment 1996263View attachment 1996264View attachment 1996265View attachment 1996266
MD pole sana!! Baba usidhani Medical practitioners hakuna wachawi wamo wamejaa tele tena hao ndo wanapiga bao kishenzi wa kurogwa wanajulikana waugonjwa wa kweli wanajulikana. na kamwe hutamroga MD,CO mchawi!nimepitia thread zako nimegundua tunapoteza muda tu kudiscuss na wewe, rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa ungo
View attachment 1996262View attachment 1996263View attachment 1996264View attachment 1996265View attachment 1996266
MD pole sana!! Baba usidhani Medical practitioners hakuna wachawi wamo wamejaa tele tena hao ndo wanapiga bao kishenzi wa kurogwa wanajulikana waugonjwa wa kweli wanajulikana. na kamwe hutamroga MD,CO mchawi!
km umesoma kweli kuna vitengo vya kienyeji Hosp nyingi MNH.KCMC NK ajabu nini? inaonyesha hata historia ya dawa huijui! Quinine ilitokana na wachawi km sisi! au umefungwa akili na wachawi nenda gwajima akufungue!!
Yani mie napiga kote kote! huo ndo ukweli MDs Vilaza mna chuki sana! sasa jiulize mie mchawi anakujua inn and out!! kuwa you are nothing better than COs! tuelekee huko uchawi wangu haukuhusu leta hoja za msingi!!
yaani ukitaka hayo cv yangu ngoja nikuongezee na mengine hata nilikuwa kibaka!! lkn nakujueni hasa kwamba nyie mlikula supp. za kutosha! COs are better hiyo ndo substance hapa
Sikia dogo nyege kila mtu anazo!! ajabu nini!? angalia kwanza effectiveness yako kwa jamii yako halafu mpunguze majungu unaona hapa unadhani umenipiga jungu kuumbe hola! umenitangazia kazi zangu! unazidi kudhihirisha mlivo wa hovyo!rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa ungo
Wenzako wana toboa kwenye hii fani kwa sababu iko kwenye Damu!! tangu mababu zao, nyie mnatamani tu ajira ndo mna hangaika hivi ....cha kushangaza nini hapo?nimepitia thread zako nimegundua tunapoteza muda tu kudiscuss na wewe, rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa un
I'm an Engineer, siijui vema kada ya Afya.. ila Ninachojua CO ni Mganga sio Daktari!
Ni miongoni mwa elimu zinazotakiwa kufutwa.